Nataka nikasomee Health Records and Information Management

Nataka nikasomee Health Records and Information Management

brave_2

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
77
Reaction score
52
nataka nikasomee health records and information management ....
naomba kama kuna mwenye uwelewa juu ya hii kozi na pia je upatikanaji wake wa ajira ni mrahisi au mgumu?
 
Kasome tena jitahidi sana posho ni km ya daktar ajira zake zipo na huwezi kuajiriwa vijijini ni kwenye district hospitals(dh) na regional hospitals
 
Kama wewe sio mtumishi wa serikali huwezi jua utamshauri mtu afanye kama ujuavyo but find an info abt that.
 
Kasome tena jitahidi sana posho ni km ya daktar ajira zake zipo na huwezi kuajiriwa vijijini ni kwenye district hospitals(dh) na regional hospitals

lakini nadhani ingekuwa poa pia ungeeleza course hy inatolewa vyuo gani ili iwe rahisi kufika au kufuatilia mambo ya msingi kuhusu kujiunga, masomo anayotakiwa awe amesoma na kuyafauru kwa kiwango gani. itatusaidia wengi pia!
 
nataka nikasomee health records and information management ....
naomba kama kuna mwenye uwelewa juu ya hii kozi na pia je upatikanaji wake wa ajira ni mrahisi au mgumu?

Huwa napenda kushauri kwenye mambo haya. Kwanza ufahamu kuwa sisi ni washauri tu, mwamuzi anabaki kuwa ni wewe. kwa siku hizi usifanye chaguo la kozi kwa mtazamo wa ajira. Ulimwengu tuliopo sio rafiki kiasi cha kuweza kumuhakikishia msomaji wa kozi fulani kuwa adopted na soko right a way. Sina uelewa sana wa content za hizo kozi na labda kabla wengine hawajaendelea kukujuza content mimi nakushauri jipime uwezo wako, na kitu gani unakipenda zaidi kukifanya kwenye maisha yako ndio ukakisomee hicho. AJIRA NGUMU popote pale asikudanganye mtu. leo inaweza kuonekana ina ajira lakini hujui teknolojia itakuwaje wakati huo na huenda watu wa kozi hiyo wasiajiriwe kwa sababu computer inaweza kufanya hicho kitu au ukalazimika kusoma zaidi ili kuwa competitive. Kama bado unahitaji guidance tuwasiliane.
 
nimekupata mkuu.asante kwa ushauri wako
 
koz hiin ni lazima uwe umepata ufauru japo wa somo moja la sayansi
 
lakini nadhani ingekuwa poa pia ungeeleza course hy inatolewa vyuo gani ili iwe rahisi kufika au kufuatilia mambo ya msingi kuhusu kujiunga, masomo anayotakiwa awe amesoma na kuyafauru kwa kiwango gani. Itatusaidia wengi pia!

tunamsaidia aliyetoa shida yake hao wenye shida wanaotaka kusafiria migongo ya watu watatoa shida yao kwingine na sio thread hii.
 
lakini nadhani ingekuwa poa pia ungeeleza course hy inatolewa vyuo gani ili iwe rahisi kufika au kufuatilia mambo ya msingi kuhusu kujiunga, masomo anayotakiwa awe amesoma na kuyafauru kwa kiwango gani. itatusaidia wengi pia!

bila shaka UDOM
 
umeongea vzr sisera. kwa sababu kuna kozi zilikuwa na soko sasa hivi ni majanga matupu. mfano sheria na kozi zinazohusu mambo ya ukimwi.
 
Mkuu iko poa sana demand yake ni kubwa mno kwenye soko tatizo ni haijatangazwa vizuri kwa nchi yetu kwani mpka sasa vyuo vinavyotoa hiyo kozi ni viwili tu KCMC na chuo cha Tandabui Mwanza
 
powa mkuu

iko hv mi nasomea hii course hapa kcmc na content za hii course ni kama ifuatavyoo
.kuna kituuu kinaitwa disease coding
.statistics and census
.research
.kuna database management
.kuna filing hapa ndioo kuna mambooo mengii sana....
yaaani ni mengi lakini vyuooo kwa kwelii vinavyotoa course hii ni viwili tu yaaani hapa kcmc na tandabuii kwa upandee wa Udom ni magumashii matupu na hautapata ajira kabisa na wala mtuu wa short course akiomba ajira na mtu wa udom atapigwa chini tuu nina evidence hyoo course ya udom nimesoma hapoo mwaka 2012/13 nikaona magumashi kama unataka more clarification njoo kcmc mafundi wa course hii hapa tanzania na diploma ipoo ila diploma ya uhakika iko kenya na degree iko kenya na masters pia na phd uhakika ninao kwamba kuna teacher wetu anayesoma hukoo na mpaka sasa yuko huko under MOHSW
asante
 
health records na health services management kuna tofaut gan wakubwa?
 
Back
Top Bottom