ukifika mbagala kwa nyoka,ulizia utaoneshwa.Kibada ndio wapi huko tena?
mwenyewe sina uhakika kwa nini! labda iundwe tume ya kutafiti.huko watu walikosa jina au kuna mtu anaitwa Nyoka???
kwani Kariakoo na POsta kunakojengwa majumba mapya kila siku kuna viwanja vitupu??TANDALE tayari kumeshajaa ...
Kama wewe ni Chenge sawa babaaa.