Nataka nijenge kama hii....

Nataka nijenge kama hii....

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,338
Reaction score
111,578
Nataka nijenge huu mjengo ila sijajua niujenge wapi hapa mjini...

basket.jpg
 
Akipita shetani anaweza akabeba akadhani ameokota jikapu, mbwembwe zingine hatari aisee

ndio vivutio vyenyewe hivyo...wasanifu majengo hushindana hapo mkuu...
 
aiseeeeee mkuu jenga kwenye mkondo wa mto msimbazi pale murahata dar
 
jengea bagamoyo,ndo kuna ukili mwingi wa kusuka hicho kikapu
 
Back
Top Bottom