Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Kama Kuna mkristo wa dhehebu lolote alafu anahisi yeye sio zao la Romani catholic anajidanganya

Dora ya Romani empire ndio walioianzisha dini ya ukristo Kwa dhehebu la Romani catholic

Baadae Ujerumani wakajitenga wakajiita Rutheran

Waingereza wakajitenga wakajiita Anglican

Kuna mwanamke mmoja alikuwa na kilema katika pua akijitenga akaanzisha dhehebu la Sabato
 
Dini zote zipo staged kama waliamuwa kutupotosha basi akuna kilichosahihi waliokuwa waajuwa ukweli waliuwawa, ndo maana Mungu maombi yetu anatujibu akijiskia na si muislami wala mkristo anaeskilizwa sana
 
Mnabshana vzur sana enewei anae ujua ukwer na nn tufanye nmekuja na kiti aje tukae anielekeze
 

Ktk code & decoded hata neno LAA IL ALLAH likiandikwa kiarabu herufi zake zinaangukia katika namba hizo 666
 
Wasabato bana! Wanatia hata uvivu kujadiliana nao. Alafu Walokole wengi wananuaga hizi porojo na kuzifundisha kwenye makanisa yao.
 
Ukristo ameanzisha Paulo haya niambie Paulo alianzisha ukristo wa dhehebu gani?
Paulo hajaanzisha Ukristo, Yesu Kristo ndiye aliyeanzisha. Na ndio maana inaitwa 'Ukristo' wafuasi wa Kristo

Paulo alijiunga Ukristo baadaye sana baada ya Yesu kufa na kurudi mbinguni. Mwanzoni alikuwa anawatesa Wakristo akabadilika na kujiunga Ukristo
 
Tulia ufundishwe utoe hayo makapi uliyomezeshwa.
 
Namba ni nini? Ni namba zipi zilitumika official na zipi hazikutumika official?
 
Hakika!.
 
Tuambie pia kwa nini nembo za makampuni fulani hutengenezwa kwa uficho, ukichunguza kwa umakini unagundua ni namba hiyo. Makampuni mengine hutumia namba fulanifulani ambazo zikijumlishwa huleta namba hizo
Hahaha nenda ka google
 
Dora ya Romani empire ndio walioianzisha dini ya ukristo Kwa dhehebu la Romani catholic

[emoji115][emoji115]
Umedanganywa vibaya sana. Lete maandiko. Wakristo walianzia Antiokia, walianzisha Paulo na Barnaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…