Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kacopy mahali ni kwamba hamna muunganiko kabisa [emoji23][emoji23]
Ila wote tunajifunza, tusimcheke sana. Acha nilete somo hapa tuuvumbue ukweli na mzizi wa fitina uishe.
 
Chai... Acha kupotosha watu. Kiufupi kila mtu ni Mwana wa Mungu
 
Mkuu najua wewe ni msabato mwenzangu. Kati ya mambo ya kipuuzi nliyaamini zamani ni pamoja na hili fundisho. Baada ya kujifunze na kufikiri nje ya box fundisho hili nliliacha kuliamini na kudharau kabisa. Hakuna kitu kama hicho ni fundisho la uongo. Nakushauri ulipuuze kwa ni ni uchochezi tu halina maana
 
ACHA uongo wewe mzee wa siku sio papa ni Mungu mwenyewe kawadanganye wasiojua Biblia
 
Sasa mbna tunauza na kununua bila hayo maneno ya kasisi wa Mwana wa Mungu....... au biblia ilikosea???
 
Mimi si Msabato
 
Haya mambo nimejifunza sana kupitia Pastors baadhi kama Mbwana, Mmbaga n.k ila bado nahitaji elimu zaidi kwasababu moja tu ambayo nahitaji hao nilio wataja naimani unawajua dhehebu lao, Tatizo ya hilo dhehebu hujiona wao ndiyo wapo sahihi kabisa kuliko wengine.

Nilijifunza sana ishu baadhi za hao wayahudi namna ambayo sabato yao ilipatikana kwendana na kuandama kwa mwezi ni tofauti kabisa na hii ya kalenda ya Gregory.

Lakini pia jambo la unabii wa Daniel ambalo kina W. Miller walichemka lilinipa ukakasi sana, bila kusahau jambo moja ukitazama katoliki ndiye aliyekusanya hivyo vitabu na kuamua vipi vitumike vipi visitumike na ilipita Karne kwa Karne hadi mwaka 1863 likaja dhehebu ambalo wao huona katoliki ndiye mnyama, Je kama hayo waliyosoma humo yapo yaliyo badilishwa?

Nielewe sijabisha au kukupinga nimejaribu kuwa wazi ili kujifunza kwa hizo hoja kwasababu ni jambo ambalo linafikirisha mno.

Naomba ufafanuzi.

Pia weweamadi mimi nahitaji sana maana ya hiyo 666 tena kwa uthibisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…