Naxria abdalla
Senior Member
- Feb 28, 2025
- 173
- 306
Nataka kufanya mazoezi ya kukimbia ili nisiende kuchangia damu,nipeni na njia nyengine nitumie ambayo ntapunguza wingi wa damu mie naogopa kwenda kuchangia damu
Ni nyingi na nimeshauriwa nitoeKwani lazima uchangie
Katoleshe copy bs uwape jamaa zako na wao wajueNdo damu zinapungua kumbe Kwa kukimbia najua leo
Punguza kunywa majiNi nyingi na nimeshauriwa nitoe
sawa shukraPunguza kunywa maji
Kwani mm nimesema mimelazimishwa kuchangia?na kama kufanya mazoezi kunaongeza damu basi ni mtihaniKwani ukikutwa na damu nyingi unalazimishwa kuchangia?
Kama unakimbia ili ukate uzito na kutengeneza mzunguko mzuri wa damu ni sawa, kama unakwenda kukimbia kwa hiko unachosema kukwepa zoezi la uchangiaji damu naona ni ujinga, kukimbia kunaongeza damu na kufanya mzunguko wa damu uwe mzuri.
Sijaelewa 💔Katoleshe copy bs uwape jamaa zako na wao wajue