Nataka nichukue uamuzi wa kuachana na huyu mwanaume, naombeni ushauri

Amekuchoka kufikia kukwambia amua mwenye anataka utoe maamuzi ili kesho na kesho kutwa aseme uamuzi uliutoa mwenyeywe
 
Huyo hana mapenzi na wewe tena, na Pengine ana mtu, ubaki uondoke kwake sawa tu, ni vyema uanze maisha kivyako, Mtoto wenyewe ni mmoja tu, utaweza tu. Usiharakishe kuingia katika mahusiano mengine. Jipe muda na umpe priority Mtoto wako
 
zenna

Tatizo ni wewe! na amesha kuweka wazi ya kuwa HAUKO ROMANTIC! Ningekushauri ili kuukoa huo moyo wako na maumivu ya uhakika jaribu kuwa ROMANTIC kwake, na kama hujui ni vipi uwe romantic angalia basi hata moves za kimahaba uibe angalau mbinu mbili tatu hivi! zaidi winda udhaifu wake ama sivyo mpaka house girl atakushinda!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuruni kwa ushaur nimeshawashirikisha amewaambia kama sababu ni hiyo yeye yuko tayar tuachane na kulaumu kuwa nimeenda kumuaibisha.
 
Huyoo mumeo kama anamwaga haraka, ana tatizo la kiafya ya uzazi ugonjwa mwingine, ilibidi mkae muone tatizo na wote mulikubali. Tofauti unayoiona na ni Sababu ya tatizo alilonalo na wala sio huyo wa fecebook, mwambie atafute tiba tu, maswala ya kuachana uvumbuzi wa mwisho.
 
Pole sana.kwanza hao watoto hadi wa 3yrs kwa nini unalala nao kitanda kimoja?Pili anza kujiweka vizuri kwenye mambo ya urembo kwa sababu wadada wengi wakishazaa huwa wanajisahau sana,full kujiachia.

MAPENZI NI KULELEANA,JE KABLA HAMJAZAA WATOTO mumeo alikuwa anakuhudumia au wewe ndo ulikuwa unahudumia 90%?Kama wewe ndo ulikuwa unahudumia,mwanaume hawezi kukubali leo aanze kuhudumia yeye.
 
Bado tu hujaondoka? Huo ugomvi Nitaununua Mimi Nikutoe hapo kwa nguvu, wewe leta utani tu!
Nenda ustawi ukamsainishe matumizi ya mtoto ili ukiondoka asikusumbue.
 
Huyo anashindwa kukitamkia tu kuwa hakutaki. Chukua maamuzi magumu uanzishe maisha mapya.
 
huyo mzuri sana,fanya hivi,mkiwa kwenye sita kwa sita lala kwa kugeukia upande wako,usije ukamwambia hata kidogo kuwa unataka kusex wala kumuonyesha ishara,jitahid unapokuwa nae asiuone mwili wako mara kwa mara unaweza tumia kanga unapokuwa unafanya kaz za ndan na hata unapoenda kulala vaa nguo za kulalia au tumia kanga yaan usipende auone mwili wako mara kwa mara,

jarib kuwa bize na sim au computer ukiwa free pindi yeye yupo,jitahid sana kuwa msaf hasa hasa papuch(sory for that)na maeneo mengne ya mwili,jarib kumiliki tv yako ya ndan na kama itawezekana jarib kumwekea cd za sex.msaada zaid unaweza niPM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom