Nataka nianzishe Clinic

Mr sule

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
607
1,097
Ni ndoto yangu ya siku nyingi kuanziashia clinic ambao nitaibrandi mikoa kama Dodoma, Mwanza, Dar na Arusha.

Wazo nishalifanyia kazi muda sana ila nimekuja kwenye wajuzi na wenye uzoefu wa biashara kutia Neno kwa mtu mwenye wazo la kuanziasha biashara ya clinic kabla sijapiga hatua zaidi.

Nataka mawazo yenye kwenye changamoto, Mtaji, ushindani na mengine yanayohusiana.

Karibu
 
Jambo la kwanza ni kuwa unatakiwa uwe serious.

Mfano hapa unasema unataka uanzishe clinic, haieleweki ni herbal clinic, phone clinic, massage clinic, au ni clinic ya nini na unatarajia watu wakupe ushauri wa maana.
 
Jambo la kwanza ni kuwa unatakiwa uwe serious.

Mfano hapa unasema unataka uanzishe clinic, haieleweki ni herbal clinic, phone clinic, massage clinic, au ni clinic ya nini na unatarajia watu wakupe ushauri wa maana.

Msamahani kwa kutokutoa ufafanuzi zaidi. ngoja niongezd nyama
 
Ni wazo zuri

Kuna kitabu kimoja nilisoma cha Ujasiriamali kimeainisha biashara ambazo ukizifanya lazima utengeneze hela.

Moja wapo ni hiyo ya Afya.

Ukiwekeza kwenye kutoa huduma za afya lazima utengeneze faida regardless iwe afya za asili ama hizi za Kisasa.

Ndiyo maana akina Dokta Mwaka, Isac Ndodi na wengine wengi waliweza kuvuna hela nyingi kwa wakati wao.

Binafsi najipanga kuwekeza kwenye Maabara ya Kisasa sambamba na Duka la Madawa.

Kwa utafiti niliofanya nahitaji 280M kuanza hiyo Project.
 
Back
Top Bottom