Ndio maana nikakwambia "anza tu"Nipe uzoefu wa maswali ulizwa hapo juu ..
Mwaga madini mkuu, tupeni kujifunza ..Niwe mkweli..(Am not promoting it though)
Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.
Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Yah mkuu ..
Lakini mkuu, si nimesikia kuwa hii kitu inaongeza hali ya kujiamini ?? ..Utaishia kuwa "high" tu badala ya confidence unayoitafuta..
Pia kumbuka kwa Bongo bado mihadarati"illegal"...Kuwa makini..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Taja hivyo vitu.Niwe mkweli..(Am not promoting it though)
Sikuwahi kuvuta bhangi toka utotoni hadi mwaka huu mwezi juzi..nimevuta kama mara 4 kwa interval ya wiki 1 1.
Nimegundua vitu ambavyo pengine nisingevigundua au ingenichukua muda mrefu.
Unaweza kujiamini ila ukafanya mambo ya hovyo ukapigwa na kitu kizito kichwaniLakini mkuu, si nimesikia kuwa hii kitu inaongeza hali ya kujiamini ?? ..