Nataka nianze kuenenda kisomi

Nataka nianze kuenenda kisomi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors 😂 nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana 💖

Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME
 
Mwezi huu wa tisa naanza chuo rasmi mwaka wa kwanza, naenda kusoma radiology. Sasa naanza ku behave kisomi you know na acha mambo ya kijinga nakuwa msomi. Nitakuwa nawaandikia mawili matatu kule JF doctor. Kwasabau nataka ni behave kisomi Nitakuwa siingii sana huku mmu nitakuwa nasaidia watu wenye matatizo kule kwa forum yetu doctors nabadilisha forum kwaherini mmu. Nawapenda sana

Doctor mtarajiwa DR MY NAME IS MY NAME
msomi gani kabudi au?
 
chuo cha wapi?
 
Madokta ndo mnarundika maneno hivo hamweki paragraph?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom