kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,013
- 11,953
Huu msemo huwa umekaa tenge sana,ampe maisha yake ili yeye asiishi?Mpe Yesu maisha yako utasahau hiyo bange
Huu msemo huwa umekaa tenge sana,ampe maisha yake ili yeye asiishi?Mpe Yesu maisha yako utasahau hiyo bange
Sure yaan daaI agree.
Hata mimi kuna kitu najitahidi kuacha lakini ikifika muda nahisi kukihitaji nateseka sana kujizuia nasema tu leo mwisho. Ila ni mateso sana kuacha kitu ulichozoea.
Basi kama Dini yako hairuhusu si uache? Kafanyiwe maombi 🧐🧐Dini hairusu 🧐
endeleaNataman sana niache
Unaachaje kuvuta bhangi na maisha magumu haya??.Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Lkn ujue siku hizi wafungwa wanapewa matunzo km Maafisa wa jeshi hivi.Si unamkumbuka yule mfungwa aliyeomba kurudishwa jera baada ya msamaha wa Rais Magufuli (Hayati).Mzee fanya na dua..
Maana Sheria ya Sasa ukikamatwa na hicho kipipi , hukumu yake Ni mafuriko ya miaka.
Mbunye nini mkuu???Kuacha kitu ulichokizoea ni shida,mwenyewe kuna kitu nimekuwa addicted nashindwa acha japo nafight sana.Ko hapo kaz unayo mtoto wangu
Nenda kituo chochote cha polisi utapata jibu na msaada haraka sana mwanangu.Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Stimulus nakubal. Shida nmeambiwa din aitak namm nipo kumrudia Almighty