Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Ilikua nikitaka kuacha nikikaa siku 3 bila kupuliza ikawa spati usingiz mizimu ya kina bob Marley ilikua ikinitokea huku ikilia sana na kunilaumu kwann nataka kuacha ndum, ilibid nivute hata kakipisi ndo nilale na ikawa nikilala baada ya kuvuta namuona Bob Marley anatabasamu huku akiwa sehem kama peponi mazingira yametawala rangi ya kijani na majani ya bangi yapo yakutosha yani kule hakuna kununua ni kujipimia tu, nafikir nilikua naonyeshwa sehemu walipo wazee wetu.
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Unaachaje kuvuta bhangi na maisha magumu haya??.
 
Mzee fanya na dua..
Maana Sheria ya Sasa ukikamatwa na hicho kipipi , hukumu yake Ni mafuriko ya miaka.
Lkn ujue siku hizi wafungwa wanapewa matunzo km Maafisa wa jeshi hivi.Si unamkumbuka yule mfungwa aliyeomba kurudishwa jera baada ya msamaha wa Rais Magufuli (Hayati).
 
Msaada pekee uko kwa Yesu. Hata mimi nilivutaga hiyo kitu nilipokuwa kijana. Sifurahii kwa kuwa nilivuta, na hata hivyo sijutii!


YESU NI MWOKOZI
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Nenda kituo chochote cha polisi utapata jibu na msaada haraka sana mwanangu.
 
Mimi sio bangi, ni sigara, achana kabisa na kilevi cha nicotine, ni ngumu sana kukiacha.

Nimevuta kwa miaka mitano sasa na kujaribu kuacha mara tatu bila mafanikio.

Jumapili iliopita niliamka nikavuta asubuhi, lakini sijui hata niliwaza nini, nikasema kuanzia leo naacha, kweli sikuvuta nyingine hio siku na mpaka leo sina mpango kabisa.

Zamani nikijaribu kuacha nlikuwa nasema niwe navuta mara 1 kwa wiki, ili iwe mara moja kwa wiki mbili na ifikie mara 1 kwa mwezi. lakini lakini ikifika siku ya pili tu nikiona mtu anavura fegi basi narudi kule kule tu na hapo ndio inakuwa kama nimemwagia mafuta kwenye petrol.

Saizi nimeapa jumla sitaki kuja kuvita sigara tena, sio mara moja kwa kipindi flanj.

Mungu anisaidie kwakweli, na wewe nakuombea uache wida.
 
Been there, done that, still bado kuna siku ukikutana na waliokula chumvi wenzako ambao pia walipitia, mnajikumbusha na stimu za ujana
Usivute ukiwa kazini, usivute ukiwa na familia, usivute kama huna kazi, au kwenye shughuli zako binafsi.
Kilele cha raha ya bangi kwangu ilikuwa university, halafu unakuwa unawashtukia malecture wengine kumbe............
 
Stimulus nakubal. Shida nmeambiwa din aitak namm nipo kumrudia Almighty

Dini gani hiyo hebu acheni kumsingizia Sir. God mambo ya ajabu hivi unajua mjani ni mmea ulioumbwa yaani kitu naturally hakina madhara kiafya.

Halaf kwa tafiti za hivi karibuni imegundulika wavutaji wengi wa marijuana ni miongoni mwa watu makini sana kwenye kazi na pia hawapo kwenye risk ya kupata cancer.
 
Kwani inakudhuru?. kama haikudhuru we piga tu.dhambi dhambi uongo mtupu.ule ni mmea kama mimea mingine tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom