muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 225
If possible uende college kwa cheti cha form four tena mwaka huu! Binafsi sipendi kulazimisha mamboSince nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine
N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
naamin wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine
NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...
Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
Sio kweli kwamba wanafaulu biology wanakariri! Unawezaje kukariri mambo mengi kiasi kile? Ukweli ni kwamba wana uwezo mzuri upstairs!naamin wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine
NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...
Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
Pole sana mkuuSince nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaid napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa pcb sasa nimekata tamaa kabisa nakuona hakuna ninachofanya zaidi ys kwenda kuzungusha form six 2018..hivyo rasmi nahitaji kuongea ba wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine
N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi
-pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB
AsanteRudi mapema, kasome diploma ya mifugo au kilimo kwa cheti cha 4.
Its pain me a lot naona kama mzee anapoteza hela zake kwangu daahUsikate tamaa komaa PCB ndivyo ilivyo ! Ni ngumu lakini komaa ! Utatoboa, nilisoma PCB pia , kaa karibu na wanaofaulu vizuri jifunze nao. Kubali kuteseka utafanikiwa.
Yaah najua kukariri sana ila nashangaa chem imekuwa complicate sana kwangu physics ndo balaa marks kubwa nilipataga 38naamin wewe utakuwa mzuri kwenye kukariri maana biology bila hiyo tekinik utajuta... . sasa kama umeweza kuifanya vizuri hiyo biology pia tumia hiyo njia kusoma hayo mengine
NB...
Advanced msuli wale tembo matokeo sisimizi...
Hata T.O atakayetangazwa mwaka huu aliapitia hizo changamoto lakini alijikaza
Fact mkuuIf possible uende college kwa cheti cha form four tena mwaka huu! Binafsi sipendi kulazimisha mambo
Ni kweli ila vyote hivyo nafanya nasoma naelewa ukija mtihani chaliiKusoma ni jambo moja, kuelewa ni jambo la pili, ratiba yako ya usomaji na wasoma nini kwa mtindo gani ndo inakupelekea huko, pia walimu na namna wanavyo fundisha ndo sababu kubwa, soma kuelewa sio kujiandaa kujibu maswali
Kukariri muhimuSio kweli kwamba wanafaulu biology wanakalili! Unawezaje kukalili mambo mengi kiasi kile? Ukweli ni kwamba wana uwezo mzuri upstairs!