nataka ndude Mabibo hostel

nataka ndude Mabibo hostel

ngoja wa Mabibo hostel waje wakujibu kaka.....mi napita tu
 
kirahisi rahisi tu hivyo
pale nasikia lazima uende na namba ya atm
kadi ya gari au cv yako.
 
ila pale Mabibo kuna vitu vya nguvu,sema mimi sina atm wala namba ya gari.
 
ahahaha kuna vijana wanaamin at kutongoza kazi kweli, naamin ni kweli
 
Back
Top Bottom