Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Halaf Mi mnyamwezi niliepoteza passport,Mama Sabrina na deo kisandu nahisi Ni majirani
Maisha ndio haya haya sa ntaenda wapi,usishangae natamba afu we hauna chambi ,mi mwembamba ila napiga shoo za kitambiWatu wazima tumeshaelewa unachotafuta hapa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmhhh " mazoezi yapi 'View attachment 687458nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji motivation jamani,mwalimu wangu ntakupenda kwa dhati maana nitapata vitu vingi toka kwako ikiwemo mazoezi ya kutosha,so kama kuna mwalimu humu ana body kama la huyu mkaka aje pm tuyajenge,pia ka sura kawepo jamani sitaki kutishwa mie wakati wa mazoezi
Tahadhari msome na kuelewa sio uje mwalimu upo upo na huna mwili wa mazoezi utanikosea adabu na akili yangu utaichosha, hakika sitofanya mazoezi vyema na utanipotezea muda tu ntakuwa nasahau kuja mazoezini,nataka mwalimu anaevutia ili niwe napenda sana mazoezi,na kila nikikumbuka mazoezi nafurahi,itanifanya akili yangu iwe inamkumbuka mwalimu kila saa ,mwalim akitabasam tu unafurahia .Mwalimu awe na lugha laini sipendi watu wakali anielewe nilivyo tu
Hebu tupende kufanya kitu huku unazungukwa na vitu vizuri akili nayo inakuwa nzuri na afya
Bongo bahati mbayaMaisha ndio haya haya sa ntaenda wapi,usishangae natamba afu we hauna chambi ,mi mwembamba ila napiga shoo za kitambi
Ooo my super handsome is sweeter than kukuYule dokta wa instagram hawezi?
Sana tuBongo bahati mbaya
Kweli mama Sabrina upo mbali,Halaf Mi mnyamwezi niliepoteza passport,
niko bongo bahati mbaya tu unyamwezi sio wa kufosi ,ukiniona kama tozi niguse nije na kikosi
Haijalishi niko wapi lazima niwe happy,
Haijalishi nipo wapi lazima niwe msafi
Hata kama nipo mwenyewe au na washikaji
Ya viungoMmmhhh " mazoezi yapi '
Hahahaaa haya mdada kila la heri...Ooo my super handsome is sweeter than kukuView attachment 687463 akiwa na sura ya seriaz hivi ndio nakufwa kabisa mimi[emoji104][emoji104][emoji104][emoji104]
Ooohhh kuombe " mi nawezaYa viungo
Huwezi kushindana namiKweli mama Sabrina upo mbali,
Ila hujaacha asili,
Japo hukulipa nauli, siku ile ya safari,
Na nyuzi zako za kachumbali,
Heri ukalie wali, na kisandu wako jirani,
Mama Sabrina anatafuta Mwalimu,Kweli mama Sabrina upo mbali,
Ila hujaacha asili,
Japo hukulipa nauli, siku ile ya safari,
Na nyuzi zako za kachumbali,
Heri ukalie wali, na kisandu wako jirani,