Nataka mtoto


ameen!ubarikiwe na bwana!
 

thank u dear for ur advice.
 

Tafuta dume la mbegu imara, inaonekana huyo uliyenaye ana matatizo
 

pamoja na kwamba madaktari wamekueleza kuwa unaweza kupata ujauzito,kuna mambo mawili unahitaji kuyafuatilia
1.yakupasa mwenzawako akapimwe ili kujua kama mbegu zake zinaweza rutubisha yai lako
2.wewe mwenyewe yakupasa ukapime tena kuna kaugonjwa kanasumbua sana kanaitwa UTERINE MYOMA ni vyema ucheki hilo,maana wadada wengi hawajui kuwa wanaumwa lakini kiukweli hilo ni tatizo kubwa sana ktk kuzuia ujauzito kwa akinamama
 

Nitafute bana kwa nini uteseke?
 

roger that!will take it into consideration!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…