Kuna umri unafikia inakuwa inatesa sanaMtafute huyo mama mtoto hata kwa sim ongea nae ujue mawazo yake, hisia na misimamo yake. Then anzia hapo kupanga la kufanya.
Pole sana maana ujana ulikuponza ila hongera kwani wako wengi ambao wana watoto waliowapata kwa style hii lakini hawaoni umuhimu wa kuwatafuta.
Nadhani muda ukifika utamuona tu;cha muhimu ninachoona kwa sasa hivi inabidi upambane sana uwe na status nzuri ya kiuchumi...naamini lazima utatafutwa tu.Kweli hakuna jipya chini ya jua, hiyo story na mimi yalinikuta , ivo ivo , ilikuwa 2016 kipindi nipo chuo flani , nilidate na bint kama mwaka ivi kipindi tunakaribia kumaliza akasema anataka mtoto ,tukafanya kweli. Tukamaliza sasa alipofika kwao akaniambia hawezi kuishi kwao anataka aje aishi kwetu , nikamwambia haiwezekani kwa sababu bado sina kitu ila nikipata chochote ntakuwa namtumia , badae nikaja kupigiwa simu na some one aliyejitambulisha kuwa ni mumewe na akasema nimuache mkewe ,,kila nikimtext demu iwe wasap au text za kawaida jamaa alikuwa anadaka mawasiliano badae demu akapotea nae akaniblock after some months akanitumiaga pic akasema nakaribia kujifungua , akaniblock tena mpka leo kuna siku nikapiga simu akasema alijifingua salama ila hataki nimtafute tena na mtoto anae wa kike. Nilijaribu kuwatafuta rafiki zake wamuelekeze akawajibu shit kwamba waongelee mambo mengine ila sio mtoto.
Mpka leo alishabadili laini kuna siku nikaonaga pic za harusi duu , sijui kama ntakujaga kumpata mwanangu,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nianze na hili,ingawa nia yangu ni mtoto anitambue tu hata kama ni gharama za kumlea nitatoa ila lengo kuu sio kumleta nyumbani,kwa sababu inaweza kuathiri familia ya sasa.
Nitafanya hivyo mkuu,cha muhimu ni kujihadhari tu nisije nikala tunda kimasihara.Wasiliana na x wako direct
"corona ipo tuchukue tahadhari"
Mchakato ulikuwaje mkuu?
watu kama nyinyi ndio sababu dunia inakua sio mahali salama pa kuishi tenaSasa hapa nipo njia panda, namuhitaji mtoto angalau ajue baba yake yupo ingawa nina familia yangu kwa sasa ila cha muhimu tu nataka mtoto aweze kujua baba yako halali ni Equation x. Nifanyeje wakuu....
mkuu ujipange sawa sawa umemkatili sana mtoto wa watuMwezi wa kumi na mbili mwaka 2008 mdada huyo alirudi likizo kwao na baadaye akatembelea kwetu akiwa na mtoto huku akiniulizia kwa wadogo zangu napatikana wapi, akiwaambia kama bado sijapata ajira niende nikaishi naye huko aliko...lakini hakuwaambia kama yule mtoto ni wakwangu
Mkuu kwa hayo maelezo hapo[emoji115] ulitaka viashiria gani vingine kwamba mtoto alikuwa wako na huyo ke alikuwa anakuhitaji??
Mi naona kama ulikimbia majukumu kiaina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini mkuu?watu kama nyinyi ndio sababu dunia inakua sio mahali salama pa kuishi tena
Nitamsikiliza mama yake,akikubali au akikataa sawa tumkuu ujipange sawa sawa umemkatili sana mtoto wa watu
ok nikutakie mapambano memaNitamsikiliza mama yake,akikubali au akikataa sawa tu
Sawa mkuu..ok nikutakie mapambano mema
ok nikutakie mapambano memaNitamsikiliza mama yake,akikubali au akikataa sawa tu
mwaka huo hata mimi ndio nilikuwa first year mkuu its seems tunalingana mkuuSawa mkuu..
Ndo muwe na heshina kidogo humu jukwaani,2006 na graduated advance shy bush.2006 wengine darasa la pili wengine mnagegeda [emoji24][emoji24] Life is unfair [emoji23]
Utu uzima umekujia na busara... shukuru Mungu piaKuna umri unafikia inakuwa inatesa sana