Nataka mrembo tule mwaka mpya leo

Changamkieni jameni mana hata upangaji wake wa pesa haueleweki mkamsaidie kuzihesabu
 
wapi warembo wa humu ndio kujifanya hamuuoni huu uzi au?
Wanakuja kwa kasi pm nadhani hapa wanaogopa kuonekana kama nao wamo, nashukuru mpaka muda huu nipo na Miss natafuta hapa tunaimalizia pochi.
 
Wanakuja kwa kasi pm nadhani hapa wanaogopa kuonekana kama nao wamo, nashukuru mpaka muda huu nipo na Miss natafuta hapa tunaimalizia pochi.
Baaasi sawa usiache nyama yoyote wewe tafuna tu, tena ikiwezekana wapige kwa awamu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vijana wamezoea kutaka wachumba humu kinyonge nyonge ndiyo maana hawafanikiwi, mimi jana moja tu pm kumejaa warembo wote maarufu humu[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Duh! Kuwa makini bro,kuna mashoga humu yakikupm usisahau leta mrejesho hapa...
Tehe, hii tabia nimeikimbia hukooo insta... , maana nlikuta asilimia 70 ya follower wangu ni pungaz, na huku wapo kweli? Au jokes tu mkuu?
 
Tehe, hii tabia nimeikimbia hukooo insta... , maana nlikuta asilimia 70 ya follower wangu ni pungaz, na huku wapo kweli? Au jokes tu mkuu?
Wengine wanajinadi wazi wazi, ukitaka kuwajua utawakuta kwenye nyuzi za maada hizo.
 
Ushauri wangu kwa wakuu... Iwepo noti ya shilingi laki moja!!... Pochi limejaa, ukihesabu ni hela ya kulipa chumba tu hapo kempinsky!!...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…