Mkuu nimesoma comments zote humu kwa mshahara huo unapata mkopo zaidi ya 8M, pili mkataba wako wa kazi & mshahara ndo security ya mkopo wako, Tatu kampuni au taasisi unayofanyia kazi pia inaongeza imani kwa taasisi zinazokopesha ikiwemo bank tatizo nowadays waajiri wengi wanaogopa kuresign muda wowote kwa wafanyakazi hata bank pia zinaogopa ksb mtu anaacha kazi bila kuitaarifu bank husika anaenda wapi ili wapange namna atakavyokuwa anarejesha mkopo wake......
Nne...km uko dsm napenda kujua ili tuongee vitu kadhaa nione km anaweza kukusaidia kupata mkopo suala la utanunua gari gani la bei gani hilo siyo tatizo kikubwa ww utimize ndoto yako ya kudrive....
WaPo watu kibao mshahara mdogo wana take home ya 200,000/- wanamiliki nding so usikatishwe tamaa pambana na hali yako kiongozi
Ahsante sana...
Sent using
Jamii Forums mobile app