Huko huko ndio Msanga Ngongele? Muda wa kuwacheza na kuwatoa wali ni lini hasa?Nenda buguruni sokoni, panda ma-bus ya msanga...
Pia kuna option ya Noah ambayo ipo fast sana ila ni kubahatisha pale gongo la mboto au hukohuko Buguruni sokoni...
Kwa pale sijaona guest house ila maneromango kuna guest ya 5000. Pale na Msanga sio mbali sana...
Huu ni muda wa mavuno kwahyo kama unataka kufanya utafiti inabidi uandae kiasi kidogo cha kuweza kuwalipa ili waache shughuli zao wakupe majibu unayoyahitaji...
Msanga sokoni, ambayo tayari nishafika. Hiyo msanga zalala sijafika bado, i think next time i have to go msanga zalala..Kati ya Zalala na sokoni ipi imechangamka? And wapi karibu kutokea chanika?
Msanga Zalala ni shamba tu pana geti hapo na vijumba jumba basi hamna lolote.Msanga sokoni pamechangamka watu pale mpaka jioni au wikiend ndo utaona kuna watu wengi.
Mkuu unaonekana unauliza maswali ambayo tayari ulishayajua. Vipi ulisharudi umakondeni?Msanga sokoni, ambayo tayari nishafika. Hiyo msanga zalala sijafika bado, i think next time i have to go msanga zalala..Kati ya Zalala na sokoni ipi imechangamka? And wapi karibu kutokea chanika?
Mabinti bomba wa Kizaramo walioumbwa na Mungu....ahahah😀😀😀😀Nataka kwenda Msanga, nataka kwenda Msanga oooh nauli sina -Gangwe Mobb "Ngangali Kinoma"
Ukitaka kwenda Msanga lazima uwe ngangali kinoma, la sivyo utarudi na binti wa Kizaramo.
Au unaweza kuhamiabusirudi kabisa wakishakupunga madogoli.
Kuna msanga ngongele na msanga dinyola piaMkuu kuna Msanga mbili na zote ziko kisarawe.Moja ni Msanga zalala unapitia chanika na nyingine Msanga sokoni we unaenda ipi?
Kazi mzumbwi karibu sana ndio maana wanajifanya wajuajiNiliwai kufanya utafiti kuhusu maswala ya sayansi ya afya mwaka huu mwez Wa saba katika moja ya vijiji huko kisarawe mi nilikua kijiji kimoja kinaitwa kazimzumbwi ni Wa kalimu ila wajuaji sana aise
Hiyo msanga ya mtwara au[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nataka kwenda Msanga, nataka kwenda Msanga oooh nauli sina -Gangwe Mobb "Ngangali Kinoma"
Ukitaka kwenda Msanga lazima uwe ngangali kinoma, la sivyo utarudi na binti wa Kizaramo.
Au unaweza kuhamiabusirudi kabisa wakishakupunga madogoli.
Do you know what euphemism is?Sielewi, nieleweshe mkuu, kwa faida ya wasomaji
mkuu ulitegemea utakuta mabmumbu. Hao wengi wao kila siku kushinda Dar kulala huko kijijiniKazi mzumbwi karibu sana ndio maana wanajifanya wajuaji
Msanga gesti zipo nyingi na usalaama upo wazaramo wako bize na pombe japo wavivu kulima na kutafuta lakini awana tamaa ya wizi pale msanga kuna njia panda ya kwenda chole na vikumbulu nenda ukale wali naziAsante sana kaka kwa majibu mazuri. Haya ndio majibu niliyokuwa nayatarajia. Kutoka Buguruni hadi Msanga ni masaa mangapi? Unasema Msanga hakuna gesti, so itanibidi nilale gesti Mwaneromango? Mambo mengine ambayo nigependa kujua kuhusu msanga ni kuhusu usalama wa raia pamoja na uwepo huduma muhimu za kijamii....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jf lahaVitu vingine inabidi uipe nafasi akili ifanye kazi yake, coz akili pekee ni uchawin tosha, vinginevyo unaweza jikuta unamroga mke wako asahau kuomba hela ya matumizi nyumbani
Muongo ulienda enzi za nyerere ,Msanga ...panda GARI had gongolamboto; halafu. Panda za chanika, ukifika chanika panda za kwenda MSANGA ZALALA A.K.A MSANGA, KUNA VUMBI JEKUNDU HATARI, HAKUNA NETWORK LABDA AIRTEL ...UMEME HAMNA KULE NI MWENDO WA SOLAR TU, JUA KALI SODA ZA BARIDI HADI WAPANDE DARADARA KUTAFTA; GARI LIKIKUACHA INABIDI HADI ULISUBIRI LILUDI TENA....Kiwanja wanauza Kwa kurusha jiwe ndio kipimo,