Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,389
- 45,054
Hivi wewe mwenyewe unakielewa ulichoandika? Hebu soma tena mwenyewe halafu ujicheke.maana shetani roho sio binadamu ni sawa na kusema unampiga mawe jini
Nini tofauti ya jini na roho?
Hivi wewe mwenyewe unakielewa ulichoandika? Hebu soma tena mwenyewe halafu ujicheke.maana shetani roho sio binadamu ni sawa na kusema unampiga mawe jini
Mimi sioni sababu kwa nini watu wengine hawaruhusiwi. Labda katika kipindi cha hijja tu.This is sad!
I am sure Saudia inavyizidi kufunguka watabadili hili.
Ibrahim na Isaka hawakuwa na dini bali walimtukuza Mungu.
Sasa bwashee unataka nijipige mawe?Sasa shetani si ni wewe mwenyewe hapo unaenda kumpiga nani huko Macca au wewe ndio unajipeleka ukapigwe mawe?!
Usisahau, shetani wa mtu ni yeye mwenyewe.
Shetani hana dini.Tafadhali yako ipo dubious.
Jadili tendo la kumpiga mawe shetani lina maana gani kuliko kujifanya muislam wakati wewe ni mgalatia mwenzangu
Shetani ulishawahi kumwona,na anaishi wapi?Kwa taarifa yako tu ni kwamba hii issue ya hijja yote inahusisha historia ya Nabii Ibrahim (nyinyi munamwita Abraham).
Kuna vitu vingi ndani ya Hijja lakini hilo la upigaji wa mawe kwenye Jamarat ni kama symbol ya kuashiria kumlaani shetani na kukumbushia uwepo wake. Siyo kwamba huyo shetani mwenyewe ndiyo anaishi pale.