Nataka kwenda kuchora Tatoo

Wewe ni malaya sana

Ulimtukanaga mpaka mkwe wako

Humuheshimu mumeo kisa kiwete.

Ila kama upo serious njoo inbox nikupe namba ya mchora tatoo mashuhuri
 
Bora umchore mwanao au wazazi wako, hawa ndugu zetu wa kiume hawakawii kukugeuka baadae ukaja jifuta na pasi hiyi tattoo.
Kuna mmoja yuko mwananyamala manjunju/posta kama unashuka kuelekea mwananyamala B shule ya msingi. Nimeona kawachora rafiki zangu watatu vizuri sana na bei rahisi tu.
Siku nikipata ujasiri nitaenda kuchora jina la my son..
 
kila la kheri ila fikiria mara 2, anaweza kuja wa muhimu zaidi ya huyo na akakwazwa na iyo tatoo kwa kuona juhudi zake na kila kitu kwako si kitu ivo kukata tamaa ingali ww ukimuhitaji bado .
Nimepokea maoni yako ila Mimi nikitamani kitu hata liwe bomu raha yangu ni kulitenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba unielekeze mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa makanisa mna tabu nyie lol! Mara walawi mara ushuhuda basi taflani! Kila mtu atabeba dhambi zake,nipe location mengine niachie mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kassim ndie Marehemu (Allah ampunguzie adhabu ya kabri,amuweke kivulini) Abeid ndie mume wangu,ndani ya nyumba yetu jina Kassim halijafa lipo maana moja ya watoto wetu tumempa jina hilo hivyo linaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Na mm napenda hio kitu lkn ndo ivo haifai......rudi nyuma bibie fikiri kabla ya kutenda ili usijutie baadae
 
Nakuelewa sana!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…