Jamii forum ilitakiwa kuwe na interview ili watu waweWewe acha kudanganya mwenzako.Kama hujui kitu sema hujui tu.Mambo ya mabasha na maboflo mnayajua wenyewe nyie watu wa shinyanga.Rudi kwenye viroba na bange kisha ukalale,unatia kichefuchefu!
Akili mkichwani mwake!!Unaleta ubishi kwenye maswala usiojua.Nairobi tuko kila siku tunafanya kazi bila wasiwasi au shida yeyote.Wewe ulikomalia vijiweni hata pasipoti unayo?Hata dar mjini sidhani umefika wewe.Heri mwenzako ameshapanga safari,au unamuonea wivu?Wacha achape safari ajionee mengi,atakupa ripoti akirudi,kaa huko huko uliko,hivo hivo tu ulivo maanake watu wanaokatwa vichwa bila huruma huku Kenya ni wambea kama wewe!
Hahahhahahahhaah duhhhhh ukichokoza WA Tanzania jitayarishe maana watakushukia kama nyuki .Unaenda kutembelea OLDUVAI GORGE!?
Naona unampa mawaidha mazuri.Mimi pia sitamzingua nilikuwa naongelea jamaa wengine hapa wanamwambia mambo ya ajabu ajabu hata mimi mkenya nashangaa wanaiongelea nchi yangu au Malaysia!Kenya pia airtel ni ovyo.Vodacom na Safaricom zina uhusiano nadhani lakini namshauri Nyanya Mbichi akipata shida kwenye mawasiliano anunue simcard ya Safaricom.Simcard ya Safaricom ni Kshs 50 tu!Kenya lazima uwe na kitambulisho ili usajiliwe ukinunua simcard bila hicho hupati simcard.Kwa wakenya ni I.D card lakini pia wanakubali paspoti ni kazi rahisi na ya haraka.Sehemu za kununua na kusajili simcard ni zilezile za M-pesa.Kumbuka pia ukiwa kwenye mtandao wa Safaricom ndo utapata M-pesa,utatumia paspoti(nambari yake) pia kutuma na kutoa pesa kwenye M-pesa.Malindi utapata gari pale pale Mwembe tayari nauli ni kesi 250 kama hawajapandisha ni mbele ya kilifi.
Network uliuliza Vodacom unafanya through out Kenya lakini roaming huwezi itumia kwa mtandao na UK I pig is a in a kula Salio Tigo na airtel ni ubabaishaji kuna sehemu hazishiki.
Tehee teheeee....Job true true 😀 😀Hahahhahahahhaah duhhhhh ukichokoza WA Tanzania jitayarishe maana watakushukia kama nyuki .
Umenichekesha kwa kweli .
Nashukuru sana sana Mkuu umekua muongozo mzuri sana kwangu,mungu akubarikiNaona unampa mawaidha mazuri.Mimi pia sitamzingua nilikuwa naongelea jamaa wengine hapa wanamwambia mambo ya ajabu ajabu hata mimi mkenya nashangaa wanaiongelea nchi yangu au Malaysia!Kenya pia airtel ni ovyo.Vodacom na Safaricom zina uhusiano nadhani lakini namshauri Nyanya Mbichi akipata shida kwenye mawasiliano anunue simcard ya Safaricom.Simcard ya Safaricom ni Kshs 50 tu!Kenya lazima uwe na kitambulisho ili usajiliwe ukinunua simcard bila hicho hupati simcard.Kwa wakenya ni I.D card lakini pia wanakubali paspoti ni kazi rahisi na ya haraka.Sehemu za kununua na kusajili simcard ni zilezile za M-pesa.Kumbuka pia ukiwa kwenye mtandao wa Safaricom ndo utapata M-pesa,utatumia paspoti(nambari yake) pia kutuma na kutoa pesa kwenye M-pesa.
Ni passport tu pamoja na kadi ya chanjo na pesa zako tu
Haina presha jombaa,karibu Kenya na utakapofika jihisi uko nyumbani.shukran.N
Nashukuru sana sana Mkuu umekua muongozo mzuri sana kwangu,mungu akubariki
On the way to Mombasa ,WAMI hapaUnaenda lini?? Ulete mrejesho kama kuna oldu vai gorge huko nako.
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Pitia Moshi nikuagize
Duh ningekuagiza kuna kamchepuko hapo Mombasa Nina Zawadi yake nilikuwa natafuta namna ya kukafikishia.On the way to Mombasa ,WAMI hapa
Hahahaah ukikaribia muda nistue twende wote kijana nikawe japo bodyguard wako huko.Huu uzi umenipa mzuka na mimi kwenda kutembea Kenya...ila nadhani niende Nairobi.. mwezi august naenda
Dogo twende mwez wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni ndio ntakua likizo...Hahahaah ukikaribia muda nistue twende wote kijana nikawe japo bodyguard wako huko.
Poa dogo ngoja niziweke ratiba vizuri...!!!Dogo twende mwez wa 8 mwishoni au wa 9 mwanzoni ndio ntakua likizo...