Nataka kwenda Gambosh

Nataka kwenda Gambosh

Smokey D

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
2,632
Reaction score
2,114
Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani.

Kuna njia yoyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata tiketi kama za ndege...

NB:-
Ni Kisiwa cha wachawi na sio Gamboshi Wilaya ya Bariadi..

Asanteni..
 
ukienda ukifka ulete mrejesho na picha juu
 
Gambosh... Jina linatisha kama uchawi wa Ki spaniola... Nenda
 
Nilishawahi kufika, mbona ni pa kawaida tu,
Kuna watu wanaendesha maisha fresh, swala la dunian kwan wao wanaishi mbinguni?

Sema tulipewa moja hiyo ya kuondokea, sitaisahau loooh!
Ila Gamboshi ni kijiji km vilivyo vingine, mambo ya uchawi hata hapo ulipo yapo, ila hapako kama watu wanavyodai palivyo.
 
Wakuu Habari Zenu
Nimesikia eti huko Gambosh kuna kila kitu kama hapa duniani.Mimi nataka kwenda mara moja tu kwenda kujionea kwa macho yangu na kurudi hapa duniani..
Kuna njia yeyote ya kwenda huko au ni mambo ya kukata ticket kama za ndege..
Una kifua cha kukabili mambo? Nitumie namba yako nimpe bibi afanye yake! Ila wakikung'ang'ania huko tusijuane!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom