benjamathayo
Member
- May 22, 2018
- 75
- 77
Ndio bos duka tayari lipo
Ungemjibu kwanza maswali yake halafu nawe ungemuuliza ungekuwa umefanya jambo la kiungwana zaidi!Sasa hiyo TZS 20 million ukitoa ticket na malazi unabakiwa na nini?
Na mimi nime subscribe mkuu tupate mawili matatuKwa nini usiagize kwa wafanyabiashara wanaoishi china bidhaa unazotaka ukasave nauli malazi n. K?
Anyway nimesubscribe tu na mie nijifunze.
Mbona umeishia tu kutoa pongezi amna la maana uliloandika, kwani mtoa mada kasema ana shida na pongeziMkuu kwanza nikupongeze kwa mtaji ulionao unatosha kabisa hata kama ungekuwa na milioni 4 asije MTU yeyote akukubeza na mtaji wako, maana MTU ukimwambia unataka kuanzia biashara atakwambia uanze na bilioni mbili,ni wapuuzi watu hao wapuuzie