Nataka kuzika kwa lawama

Nataka kuzika kwa lawama

Kuna mambo waafrika tinajisumbua kupambana nayo, ukeketaji, uchawi, maradhi nk Hayo hayakomeshwi na sheria bali ELİMMU.Watu wakielimika wanaacha wenyewe mambo hayo.Jaribu tuone labda urafanikiw jambo ambalo serikali imeshindwa.Jaribu kusambaza na dini zinaweza kusaidia.
Kwa hapa Afrca, Moja ya vitu ambavyo haviwezekani kutokomeza kwa kutoa elimu ni FGM
 
Hongera sana mkuu,nafikiri kutoa ELIMU Itakua first step,,,,,,target wamama wenye watoto wachanga mpaka wale wenye umri wanaotumia kutahiri ,ukiweza kuwainfluence hao wamama Hili swala litapungua sana, but I don’t know how,lol
 
Hutaki na wengine wakeketwe kama ulivyokeketwa? Wewe unaona una mambo gani unakosa baada ya kukeketwa?

Na umeomba mchango hujasema tutume kwa namba gani au account gani.
 
Wasalaam wakuu.
Leo naomba niwe muwazi kabisa:

Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa kwanza, ni WA KIUME,( Bachelor of Participatory Project Planning and Management) hapa TICD. Jamii yangu ya ki-maasai huwa na tabia chafu sana ya ukeketaji ambayo kwa mda mrefu nimekuwa naichukia lakini sikuwa na cha kufanya..
Mimi kama mwana jamii hiyo ninasoma kwa bidii ili Nije nishughulikie hiyo tabia kwani ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu. Lakini hadi sasa sijui pa kuanzia.. Ninasoma vitabu vingi vinavyohusiana na FGM lakini bado sijapata pa kuanzia...

Tafadhali naombeni ushauri ukiachana na kutoa elimu kwa jamii na kuwaripoti wanaofanya vitendo hivyo ni mbinu gani nyingie naweza kuitumia ... Mawazo yako ni ya muhimu sana ili nipate pa kuanzia. Pia kama una vitabu vinavyohusiana na FGM please naomba unitumie nivisome. Tuma kupitia e-mail hii: Loanyunitarakwa13@gmail.com.

NINA NIA YA KUIZIKA kabisa F.G.M katika jamii yangu kuanzia sasa utakaponipa wazo lako..

KWA PAMOJA TUSEME F.G.M BURIANI..
Karibuni kwa maoni
Mpendwa suala la kuzika hii mila sio la SKU moja ,,,,na wala sio la vita ,mbona nmeona huko huko umasain wale wabibi wanao keketa wanaelimishwa pamoja na jamii na wanaelewa na kuacha kukeketa? Uskate tamaa,endelea kuomba taasisi mbali mbali kufka eneo lenu na kutoa elimu,ili ni suala la kimila na tamadun na hakuna kazi ngumu kama hii ya kupga vta tamadun mbaya ambazo jamii hadhiriwa inazkubali na kuzbarik...
 
Kuna msomi mmoja walimkeketa wakati amekufa, walisema hawezi kutudharirish kwa mungu
 
Hongera sana mkuu,nafikiri kutoa ELIMU Itakua first step,,,,,,target wamama wenye watoto wachanga mpaka wale wenye umri wanaotumia kutahiri ,ukiweza kuwainfluence hao wamama Hili swala litapungua sana, but I don’t know how,lol
Ahsante
 
Mpendwa suala la kuzika hii mila sio la SKU moja ,,,,na wala sio la vita ,mbona nmeona huko huko umasain wale wabibi wanao keketa wanaelimishwa pamoja na jamii na wanaelewa na kuacha kukeketa? Uskate tamaa,endelea kuomba taasisi mbali mbali kufka eneo lenu na kutoa elimu,ili ni suala la kimila na tamadun na hakuna kazi ngumu kama hii ya kupga vta tamadun mbaya ambazo jamii hadhiriwa inazkubali na kuzbarik...
Tatizo kubwa huwa wakiletewa seminars wanaonekana kukubaliana nazo kutokana na hofu ya kufungwa then watoa seminar wakiondoka tu FGM Inarudi palepale
 
Back
Top Bottom