UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,561
- 1,393
Fanya 2x5
Kati ya hao kumi umejiandaa kule wangapi??Mi na mke wangu tulikubaliana tuwe na watoto wawili. Na tayari tumeshabarikiwa kupata hao kwa kadiri ya makubaliano ndo mwisho wa kuzaa. Lakini kila nikiwaangalia watoto wangu wawili napata shauku ya kuongeza wengine.
Watoto wangu nawapenda watoto wangu wapo vizuri kiasi kwamba napata faraja kuwa nao. Kama ningekuwa nao kumi hivi nadhani ningekuwa na furaha zaidi. Sasa kwa vile mke wangu hataki tena kuzaa nimekata shauri la kutimiza ndoto yangu ya kuwa na watoto kumi (bado nane)
Nakaribisha mdada yeyote ambaye anapenda kuwa na mtoto au watoto tufanye makubaliano ili niweze kufanikisha lengo langu. Dini au kabila sio kigezo sana. Ili mradi tu uwe na uwezo wa kuzaa.
Nafasi zipo wazi.
Wote kumi mkuuKati ya hao kumi umejiandaa kule wangapi??
kwikwikwikwiii... bange mbaya sanaWote kumi mkuu
Mambo Ya wazungu tuwaachie wazungu. Sie Asili yetu ni Afrika. Atakayezaa mtoto mmoja na mie wa kumi tutakula sahani moja na huenda nikamkimbiza zaidi. Kuwa na mtoto mmoja ni Uoga wa Maisha, na Uoga ni adui number moja wa mafanikio
Be realistic, watu wana mke mmoja lakini vidumu 30 sasa mie ninayetaka kufanya kwa wazi shida iko wapi? Nataka 10 children, mke wangu hawezi kuzaa wote Hao. Baada ya kusoma comments zetu ninafikiria kupeleka proposal kwa my wife kuwa nataka niongeze watoto, hivyo naongeza wake wawili hope wanatosha kunifikishia hiyo number.Seriously? If yes why can't talk to your wife again and convince her more . ni vyema kuliko Kutafuta other women outside wakati wewe ni mume WA mtu .. Hivi why some people don't take their marriage vows serious? The vow you have made before God, why? I advice you to adopt is better than for you to go to other women. Thanks..
Ili niitwe Nina mpangilio na mafanikio inabidi niwe kama nani vile. Hivi kweli ulikuwa na mafikirio Ya mtoto mmoja au wawili au ulipata hayo mawazo baada ya wazungu kutwambia kuwa mtoto mmoja anafaa. Ten children are enough for me. Mungu hope atanifungulia njia na kuongeza Baraka ndani ya familia yangu.so kuwa na watoto 10 mnakula sahani moja ndio mafanikio?!! be realistic, lazima uwe na mpangilio ktk maisha,.ndio maana nilisema kabla ya kuleta 10 lazima ufikirie mengi tu, sio kuenda kichwa kichwa
Nitakutambulisha tu kuwa we ni mke Mwenza sio mpaka aridhie, najua mwanzoni atasumbua kuridhia lakini Maisha yanavosonga ndo ataridhia. kwa hiyo nafasi ipo wazi.Niko tayari kuzaa na wewe bila mpaka mkeo aridhie
Kwa nini tuandikie mate wakati wino upo. Halafu Nakupa pole kwa kutobahatika kupata mtu anayekutosheleza. Maana comment yako ni ushauri pia ina manung'uniko ndani yake inaonesha hujawahi Pata anayekutosha mpaka umekata tamaa na umejenga Imani kuwa wanaume wote wapo hivyo.Hata hao wawili umewazaa kwa shida sana, unasubiriiiiiiiiii weeeeee wapi kakisimama tu fasta unachomeka maana hakatoweza kuhimili dakina tano. Ndugu utaweza kuzaa kumi? Na vile gunia la viazi linafunguliwa saa 6 kufika sa 8 limeisha? Nina wasiwasi.
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Kamba hukatika pembamba.
mi na mke wangu tulikubaliana tuwe na watoto wawili. Na tayari tumeshabarikiwa kupata hao kwa kadiri ya makubaliano ndo mwisho wa kuzaa. Lakini kila nikiwaangalia watoto wangu wawili napata shauku ya kuongeza wengine.
Watoto wangu nawapenda watoto wangu wapo vizuri kiasi kwamba napata faraja kuwa nao. Kama ningekuwa nao kumi hivi nadhani ningekuwa na furaha zaidi. Sasa kwa vile mke wangu hataki tena kuzaa nimekata shauri la kutimiza ndoto yangu ya kuwa na watoto kumi (bado nane)
nakaribisha mdada yeyote ambaye anapenda kuwa na mtoto au watoto tufanye makubaliano ili niweze kufanikisha lengo langu. Dini au kabila sio kigezo sana. Ili mradi tu uwe na uwezo wa kuzaa.
Nafasi zipo wazi.