BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Incubator zinatafutwa jamani...
Mkuu ina maana idadi kubwa Ya watoto ni sawa sawa na kushindwa kuwatunza?Utaweza kuwa unaongea nao wote? Watoto watakua utasema tu heh mwanangu kakua wakati hujachangia chochote kwenye ukuaji zaidi ya chakula na mavazi. Hata shule hutoweza kuwapeleka shule za kueleweka.
Mkuu utanikkosesha fursaIncubator zinatafutwa jamani...
Mi na mke wangu tulikubaliana tuwe na watoto wawili. Na tayari tumeshabarikiwa kupata hao kwa kadiri ya makubaliano ndo mwisho wa kuzaa. Lakini kila nikiwaangalia watoto wangu wawili napata shauku ya kuongeza wengine.
Watoto wangu nawapenda watoto wangu wapo vizuri kiasi kwamba napata faraja kuwa nao. Kama ningekuwa nao kumi hivi nadhani ningekuwa na furaha zaidi. Sasa kwa vile mke wangu hataki tena kuzaa nimekata shauri la kutimiza ndoto yangu ya kuwa na watoto kumi (bado nane)
Nakaribisha mdada yeyote ambaye anapenda kuwa na mtoto au watoto tufanye makubaliano ili niweze kufanikisha lengo langu. Dini au kabila sio kigezo sana. Ili mradi tu uwe na uwezo wa kuzaa.
Nafasi zipo wazi.
Mkuu utanikkosesha fursa

Mkuu ina maana idadi kubwa Ya watoto ni sawa sawa na kushindwa kuwatunza?
. Sitaki kabsa kusikia biashara ya uzazi wa mpango eti watoto 2 we we we wawili likitokea la kutokea nitawapata wapi wengine.
Sio kweli mkuu, Mjomba wangu ana watoto zaidi ya 30 na kila mtoto katunzwa vizuri na kasoma mpaka alipoweza kujitegemeASasa je.... Dunia ya leo ya kipebari... Unapata wapi muda wa kutafuta hela na kuspend na watoto wengi one on one?Utaishia kuwafanya kama darasa, lakini hutowajua. Hata shule expensive duniani, unakuta darasa watoto nane maximum. Quality!
Tunamiliki watoto wawili, Anyway kuhusu kuwatunza sio tatizo nimejipanga kuwatunza vizuri tuUnamiliki nini mpaka sasahivi wewe na mkeo..
Mkuu sizai na mke mmoja,dini yangu hairuhusu kuongeza mke lakini Hili start la kuufuata maagizo Ya dini neno kwa neno Hapana naona nafsi inasema niijaze duniaMmmmh ongeza na watano wawe kumi na tano aisee sisi tuko 24 nataka nimshinde mzee haiwezakani Nataka nifikishe atleast 30 ila mkuuu ww unataka kumzeesha mke😵wa tu mke mwengine km dini inakuruhusu km hairuhusu usifanye acha pigana na nafsi sio kila kinachotaka nafsi ukifate ndomana ukapewa akili ongea na mkeo
Tunamiliki watoto wawili,
Go ahead,,, nchi huru hii
^^
Teh teh..Huyu jamaa hajielewi
Comment yako imesomwaUnatafuta papuchi za bure kiaina. Hata tangazo limesomwa.
we utakuwa Kalumanzila sio Bure.. Anyway una neno jingineUnaumwa si bure!