Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,691
- 11,276
- Thread starter
- #41
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Kamba hukatika pembamba.Kwa kweli Kuna fyuzi imeachia kichwan mwake
Ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu. Kamba hukatika pembamba.Kwa kweli Kuna fyuzi imeachia kichwan mwake
Housegirl umeniandama unataka nikose fursa ila nimeiona bright future ndani yakoBaba mwenyewe hajatulia
Aii unafikiri kuzaa hovyo na wanawake tofauti ni sifa?raha ya watoto uzae na mama mmoja, mlee watoto wenu pamoja kwa upendo na uwe na uwezo wa kuwalea, kama mlikubaliana kuzaa wawili na unajisikia kuongeza talk to your wife atakuelewa hata kama it will take time, acha kumkaribisha shetani kwenye ndoa yako ndugu!
So selfish.
Na ikitokea la kutokea kwako je?
Naungana na madaktari kwamba kila pafu moja la bangi linakaa kichwani miaka saba.... Mkuu nadhani umepitiliza mapafu ya bangi kuzidi umri wako wa kuishi, kwa mbali nakuona mitaa ya MIREMBE Dodoma
Hawa wawili nilishajiridhisha ni wangu, ila ushauri mwingine muwe mnaangalia ushauri wako unaweza nipa stress aiseeee japo Naamini ni wangupengine hata wawili sio wako hujui tu
Teh teh..Huyu jamaa hajielewi
Zaa tu ila kila 9 Dec tutahitaji hiyo team ikafanye usafi tutakapo ipangia.
angekua ni mwanamke hapa tungekua page ya 10
ulio nao wana umri gani? kabla ya kupata vidada, jiangalie kipato chako, watoto sio mchezo, sio mnaleta watoto kumi alafu mnawavalisha nguo za mtoto wa dada
Hawa Bwana MzunguWaafrika ndo walivyooooo
Unazaa watoto 10 una uhakika wa kuwatunza? Una uhakika wa kuishi miaka mingi kuhakikisha wanapata huduma stahiki mpaka watakapokua watu wazima wa kujitegemea???
Nahisi umekurupuka dogo, maisha ya sasa ni magumu sana, usitegemee leo una afya Unafanya kazi na kesho pia utakuwa hivyo!
Fikiria upya kabla ya kufanya hayo unayotaka kufanya#
anakwambia elimu bure!Utaweza kuwa unaongea nao wote?
Watoto watakua utasema tu heh mwanangu kakua wakati hujachangia chochote kwenye ukuaji zaidi ya chakula na mavazi.
Hata shule hutoweza kuwapeleka shule za kueleweka.
anakwambia elimu bure!
mtu kuoa haimaanishi yuko tayari kuwa na mtotoUnataka unamaanisha wasioweza kutunza Hata mtoto mmoja Hawana haki Ya kuoa na kuzaa?
Mambo Ya wazungu tuwaachie wazungu. Sie Asili yetu ni Afrika. Atakayezaa mtoto mmoja na mie wa kumi tutakula sahani moja na huenda nikamkimbiza zaidi. Kuwa na mtoto mmoja ni Uoga wa Maisha, na Uoga ni adui number moja wa mafanikiomtu kuoa haimaanishi yuko tayari kuwa na mtoto