kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,863
- 3,099
halafu mwanaume ili awe na mbegu zinazozalisha mapacha ale nini kwa wingi?dr mzizimkavuKama unataka kuzaa watoto Mapacha kula kila siku kwa wingi chakula cha KIAZI KIKUU utazaa watoto mapacha.
View attachment 478941