Nataka kuzaa mapacha; nifanyeje?

sherida

Senior Member
Feb 15, 2017
133
194
Naombeni ushauri jinsi gani navyooweza kuongeza nafasi yangu ya kupata watoto mapacha je kuna dawa?
 
Nipigie tuongee vizuri,ninayo dawa inaitwa kiboko ya fatuma namba ya sim ni 0656******
 
Naombeni ushauri jinsi gani navyooweza kuongeza nafasi yangu ya kupata watoto mapacha je kuna dawa?
Kama unataka kuzaa watoto Mapacha kula kila siku kwa wingi chakula cha KIAZI KIKUU utazaa watoto mapacha.

KIAZI KIKUU.JPG
 
baiolojia ya kidato cha tatu topic ya reproduction ,nahisi wengi waliochangia hapo juu walifeli hili somo,

kwa msaada nenda kwa daktari yeyote wa hospitali iliyokaribu na wewe muulezee shida yako,

nadhani kwanza atakushangaa halafu atakujibu kwa ufasaha.
 
Hakuna dawa duniani ya kusababisha mtu azae mapacha.....lakini kuna factors Kama family history yan kama kwenu kunamapacha inaweza kutokea CHANCE na ww ukabahatisha.......lakin dawa hakuna unless kwa test tube babies inawezekana kuchagua mapacha
 
Kiuhalisia amna dawa ya kufanya mapacha,ila nilishawahi kuskia skia et ukipiga kwenye angle flani hivi hua inatokeaa mapacha:D..
 
Kumbe hata binadamu kwa sasa mapacha ni dili nilijua ni abnormalities, kwa wanyama huwa mapacha ipo controlled kwenye viasili
Vya nasaba...
 
baiolojia ya kidato cha tatu topic ya reproduction ,nahisi wengi waliochangia hapo juu walifeli hili somo,

kwa msaada nenda kwa daktari yeyote wa hospitali iliyokaribu na wewe muulezee shida yako,

nadhani kwanza atakushangaa halafu atakujibu kwa ufasaha.

Sasa hiyo biology yako ya sekondari si uiweke hapa kama unadhani ina msaada we vipi
 
Back
Top Bottom