Uyo anataka aresti ini pisi mapema kwa haya mapigo
Taja jinsia yako chapchap sana....huyo babu anabisha nn ngoja nitafute topaz nikate kikojoleo nikipost hapa
sasa alikesha na nani
sasa alikesha na nani
Msiache kunipa report mkishamvunja babu nyonga zake
Alikesha namimi tuna mpango awe jenereta langu pindi umeme ukikatika.
Kabla hatujakujibu tuelimishe jinsia yako. Kama ni jinsia pendwa ya kike, then kam zis wei kwa ukaguzi. Tena uje without. Kama ni jinsia ME karibu sana Chitchat. Hairuhusiwi kutongoza warembo wa humu bila kibali changu.
Lady doctor njoo huku kwa maelekezo ya kina.
babu nimekuja japo nimechelewa aisee...... Mmefikia hatua gani? Umeshajua jinsia yake?
babu nimekuja japo nimechelewa aisee...... Mmefikia hatua gani? Umeshajua jinsia yake?