Nataka kuwa PREMIUM Member.....

Tigo pesa, M-pesa zipo, semeni tuzipeleke wapi? invicible weka simu yako hapa watu tuchangie gharama alaa!
 
Mtumie Invisible mshiko huo soon unakua premium member!

Siku moja nilijiandaa kumtumia mshiko huyu jamaa baada ya kugundua anastahili kuchangiwa!, nilipoingia JF nikakuta amesitisha/amefuta habari ya msingi ya ufisadi wa JWTz (mnadhimu Shimbo) kwa maslahi binafsi. Basi niliamua kumpigia simu x wangu tukutane Paradise city hotel (kabla haijauzwa) jioni tufurahie tusahau yaliyopita!
 
Hapana kaka ungesikiliza upande wake wa pili maana sidhani kama alifuta kwa maslahi binafsi bali maslahi yetu sote tunaoipenda JF
 
Bei gani vile na utaratibu unakuwaje?
Kunatofauti gani kati yrtu na ninyi
hebu nishawishini namie nizame humo lol

najua hata mimi sijachanga mwezi huu
ngoja nijipange pange nione kama mkono
utakuwa na kitu.
 
just make a wish! three times infront of mode. he will instantly upgrade you.
 
Mbona rahisi sana kuwa premium memba. Weka post fupi fupi zilizojaa upuuzi mwingi kama Mwita 25 au kesha ndani ya JF kama Rejao. Ndani ya wiki moja unakuwa premium memba. MODS inabidi mboreshe criteria za kuwa premium memba.
 
Alaaa!Kuuumbe!
 
Khaaa mbona mwita c mmojawao unamchokoza eeee!!!!!!!!!!!!

mbona rahisi sana kuwa premium memba. Weka post fupi fupi zilizojaa upuuzi mwingi kama mwita 25 au kesha ndani ya jf kama rejao. Ndani ya wiki moja unakuwa premium memba. Mods inabidi mboreshe criteria za kuwa premium memba.
 
Mbona rahisi sana kuwa premium memba. Weka post fupi fupi zilizojaa upuuzi mwingi kama Mwita 25 au kesha ndani ya JF kama Rejao. Ndani ya wiki moja unakuwa premium memba. MODS inabidi mboreshe criteria za kuwa premium memba.
Yaani watu wanatafutwa kudundwa hivi hivi! Unabahati tu hapa ni mwendo wa keybord, hakyanan tena ningekukuta uraiani lazima ningekupasua!
 
Ulichukua fomu za kugombea?
Kama hukuchukua, tutakupigiaje kura sasa?

kweli kuna haja tutoe huo mchango tuwe premium members.
Kwani kiwango ni kiasi gani kinaanzia wadau?
 
Yaani watu wanatafutwa kudundwa hivi hivi! Unabahati tu hapa ni mwendo wa keybord, hakyanan tena ningekukuta uraiani lazima ningekupasua!
Duu, hautaniwi mtani. Ila kuna kaukweli ndani yake broda...
 
Kumbe kuna watu wengi sana wangependa kuwa PREMIUM members na wakatusaidia sana kuchangia JF ili iwe bora zaidi........INVISIBLE please tengeneza thread maalum kwajili ya hili au jibu hapa ukiweka alternatives za kulipia ili watu wajiupgrade
 
Yaani watu wanatafutwa kudundwa hivi hivi! Unabahati tu hapa ni mwendo wa keybord, hakyanan tena ningekukuta uraiani lazima ningekupasua!
Teh Teh Teh na nakujua wewe unatembea na JAMBIA kwenye msuli wako....................
 
Karibu kwenye chama mkuu..
Nadhani umepata maelezo ya kutosha jinzi ya kuwa PM...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…