Nataka kuwa mwanapropaganda

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Salamu kwenu..

Poleni na changamoto za corona, naamini mnazingatia taratibu za afya pamoja na zile za asilia kama vile kupiga nyungu.

Miaka hii karibia 5 sasa ya utawala wa Rais magufuli pamoja na hila janga la corona vimenifanya niwaze juu kuwa mwanapropaganda.

Nimeona ndugu yangu Pascal Mayalla ameelekea uelekeo huu pia ingawa yeye haji ni inspire, kwa namna anavyojipambanua kwa sasa naona akielekea kuwa nguli pamoja udhibiti mkali anaoupata humu jamvini.

Nachoomba kwenu ni msaada wa
1. Vitabu vya kusoma
2. Kuwajua wanaproganda mashuhuri
3. Machapisho gani na nayapataje
4. Nipo tayari kuwa mentored na yeyote yule ambaye anadhani yupo vizuri.

Nawashukuruni.

Sent using iphone pro max
 
Unataka kuwa upande wa ccm chama cha chai na chapati.
Au chadema , chukua demu mapema.?
 
Mmoja wa propagandist bora kabisa kwa hapa tanzania ni Charles Mwijage. Yeye alisomea china.

Wengine kipikipiki wa huku kongwa kongwa huku na mwingine kutoka kanda ile pendwa. Wao hawakusoma.

Labda tafuta miwani ya mbao tu mkuu.
 
Salamu kwenu..

Poleni na changamoto za corona, naamini mnazingatia taratibu za afya pamoja na zile za asilia kama vile kupiga nyungu.

Miaka hii karibia 5 sasa ya utawala wa Rais magufuli pamoja na hila janga la corona vimenifanya niwaze juu kuwa mwanapropaganda.

Nimeona ndugu yangu Pascal Mayalla ameelekea uelekeo huu pia ingawa yeye haji ni inspire, kwa namna anavyojipambanua kwa sasa naona akielekea kuwa nguli pamoja udhibiti mkali anaoupata humu jamvini.

Nachoomba kwenu ni msaada wa
1. Vitabu vya kusoma
2. Kuwajua wanaproganda mashuhuri
3. Machapisho gani na nayapataje
4. Nipo tayari kuwa mentored na yeyote yule ambaye anadhani yupo vizuri.

Nawashukuruni.

Sent using iphone pro max
Wana propaganda waliopita:
Adolf Hitler, Musolini, Starlin, nk
 
Anza na Mungu maliza na Mungu mwalimu alisema kutembea kutakufanya uwe mwanaharakati mzuri harakati nzur zitakutengeneza uwe progandist mzur na kuwa kiongoz mzur
Salamu kwenu..

Poleni na changamoto za corona, naamini mnazingatia taratibu za afya pamoja na zile za asilia kama vile kupiga nyungu.

Miaka hii karibia 5 sasa ya utawala wa Rais magufuli pamoja na hila janga la corona vimenifanya niwaze juu kuwa mwanapropaganda.

Nimeona ndugu yangu Pascal Mayalla ameelekea uelekeo huu pia ingawa yeye haji ni inspire, kwa namna anavyojipambanua kwa sasa naona akielekea kuwa nguli pamoja udhibiti mkali anaoupata humu jamvini.

Nachoomba kwenu ni msaada wa
1. Vitabu vya kusoma
2. Kuwajua wanaproganda mashuhuri
3. Machapisho gani na nayapataje
4. Nipo tayari kuwa mentored na yeyote yule ambaye anadhani yupo vizuri.

Nawashukuruni.

Sent using iphone pro max

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuwa Mwana propaganda au unataka kuwa Mchambuzi wa masuala mbalimbali, mfano masuala ya kisiasa kama huyo mdau uliyemtaja?
 
Piga nyungu mkuu nakuapia siku mbili tu utaona matokeo.. utakuwa unapiga propaganda mpk kina turampu hawawezi pangua..😜
 
Kwa kuanzia muone Haji Manara, ni propagandist mzuri sana

Ni mtu pekee duniani anayeweza kuwashawishi watu kwamba simba inaweza kuifunga Barcelona ya Hispania na watu wakaamini
Salamu kwenu..

Poleni na changamoto za corona, naamini mnazingatia taratibu za afya pamoja na zile za asilia kama vile kupiga nyungu.

Miaka hii karibia 5 sasa ya utawala wa Rais magufuli pamoja na hila janga la corona vimenifanya niwaze juu kuwa mwanapropaganda.

Nimeona ndugu yangu Pascal Mayalla ameelekea uelekeo huu pia ingawa yeye haji ni inspire, kwa namna anavyojipambanua kwa sasa naona akielekea kuwa nguli pamoja udhibiti mkali anaoupata humu jamvini.

Nachoomba kwenu ni msaada wa
1. Vitabu vya kusoma
2. Kuwajua wanaproganda mashuhuri
3. Machapisho gani na nayapataje
4. Nipo tayari kuwa mentored na yeyote yule ambaye anadhani yupo vizuri.

Nawashukuruni.

Sent using iphone pro max

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kukusaidia propaganda ziko maeneo mengi mno ni eneo lipi unata la kisiasa,kiuchumi,kibiashara,kitaalamu katika fani fulanni iwe ya madawa nk mfano sasa hivi dawa ya madagascar inapigwa vita hiyo ni kazi ya wataalamu wa propaganda wa mambo ya medicine ili kuvuta muda dawa zao ziingie sokoni na kuua soko la dawa ya madagascar,ni propaganda kwenye engineering au brainwashing kama ya kuaminisha watu kuwa mzungu ana akili kuliko mwafrika au eneo lipi? yako mengi wewe unataka lipi

kuna zingine ni ujanja ujanja wako lakini kuna zingine unatakiwa ubobee hasa kwenye fani fulani ili uwe mwana propaganda mzuri

mfano wa zilizo complicated ni hii hapa tafuta muda uisikilie ni kitabu kiko kwenye audio format

Back
Top Bottom