Nataka kuwa Mwanajeshi (JWTZ)

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Nisaidie wanajamiiforums eti ukiwa mwanajeshi unakuwa na tabia mbaya kama kuvuta bangi, kuwa mlevi, kupenda wanawake ovyo, na mwisho unaweza kufa muda wowote vikitokea vita.

Mwenzenu nipo njia panda mama hataki kabisa kusikia habari za jeshi namimi ndo kazi ninayoipenda.
 
Kwanza ondoka hapo njia panda kisha i study vizuri hiyo kazi ufahamu nje ndani ndipo ujiridhishe kama unaitaka kweli au la.. Isije kuwa ulivutiwa na walivyokuwa wanapasua matofali kwa vichwa ile siku ya mapinduzi ukaipenda palepale.
 
Kwanza ondoka hapo njia panda kisha i study vizuri hiyo kazi ufahamu nje ndani ndipo ujiridhishe kama unaitaka kweli au la.. Isije kuwa ulivutiwa na walivyokuwa wanapasua matofali kwa vichwa ile siku ya mapinduzi ukaipenda palepale.
Umenichesha mkuu aondoke njia panda(mi namshauri asikae barabarani njia panda
akae pembeni.
 
Mbn bado mnanifumba wanajamiiforums
 
we upo njia panda ya wapi?kma ya hapa kawe fanya tuonane basi
 
wewe nenda huoko jeshini kwani ndo hamu ya moyo wako unapenda kwenda hivyo
mshawishi na ongea na mama yako atakukubalia tu jitahidi kumshawishi kwani
hata ukiwa afisa usalama utapata kifo kiko kokote kule ilimradi tu umeamua kufanya upendacho
 
Mkuu, jeshi linahitaji wito, uvumilivu na nidhamu ya hali ya juu. hayo mambo yote si ya kweli maana jeshi linafundisha nidhamu hizo nyingine ni tabia binafsi za mtu. Mzee wangu ni afisa mstaafu wa JWTZ, ni moja ya wazee strict sijawah kuona na even wakati i was growing up, hakusita kuniweka discipline wakati alipoona natKa kukengeuka. Hivo kama ni ndoto yako, fight for it mkuu
 
Hizo zote waweza kuziepuka kasoro bangi, maana mazoezi ya hawa jamaa ni magumu sana, bila kulanduka huwezi kuendana nao sawa sawa, hata hvyo mbna ganja iko poa 2, wala co km wanavotisha wa2, infact ili uweze ku think straight na iq ya juu, lazima ule vitu, hata einstein kavipiga. na khs kufa mda wwte co kweli, vita ni ujanja, ukiwa smart unarudi salama tu. ushauri wngu km huna elimu bora utafute k2 kngne maana utaishia kusema ndio afande mpaka unakufa, lkn km una hata ki shahada cha kwanza bac jitoe muhanga tu, pagumu ni miez 9 ya mwanzo ukitoka hapo unakula shavu kwa sn, full bata ngamia nn. krb sn mkuu, ila anza kupiga piga pushup na mapema na japo jizoeshe kukimbia umbali mrefu kdg.
 

Ndugu yangu uko sahihi kabisa. Sehemu hizi kama Jeshini (majeshi yote), shuleni, vyuoni (vikuu na vidogo), hospitalini, ni sehemu za wito. Sehemu hizi huwezi ukamkuta mtu ni tajiri kwa sababu zinatoa huduma, hazifanyi biashara
 

Mh, nilikwepakwepa kwenda jeshi toka namaliza kidato cha sita, sasa hivi naona sina ujanja....maji yamenishika shingoni...sikufikiria kama siku moja nitakuwa mwanajeshi, ila naona ndivyo inavyokwenda kuwa...najiandaa tu kisaikolojia hivi sasa. Hayo mazoezi ndio siyapatii picha, kama hadi ule ganja ndio uendane nayo...sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…