Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

2756823_JamiiForums-1851313687.gif
 
Wewe mwenyewe umesema kuwa ni side chick

Side chick ni malaya

Au nakosea?

Wapi wanasema side chick ni malaya

Ngoja kwanza wewe si una mwanamke wako labda mpo serious ukatamani mwanamke mwingine mkawa na mahusiano uko nae na hujamwambia Kama una mtu sasa utamwitaje dada wa watu malaya

Namaanisha nimeingia kwenye mahusiano na mtu katikati ya mahusiano nikagundua kuwa huyo mwanaume ana mwanamke mwinginee kabla yangu sasa hapo Nafasi yangu si nitajihesabia mimi kanifanya mchepuko wake

Sijajua malaya inatokea wapi mkuu au Mimi ndio sijui definition ya side chick
 
Unaweza kwa uzoefu wangu mabinti wa kileo wako kinyume sana na hayo.Ukifanya hivyo utakuwa lone among millions,jamaa ataona uko the best .Atahisi kuchonga beehive after testng honey.Kila wakati atakuwa anaimba HONEYYyy na wewe utampa vibunooo afu mtaitikia pamoja,,,polo,polo,poloooo.Italeta tafrani yaani frustration.

wewe jamaa
 
Nyenyekea
Mfaham ye anataka nini pia ni vitu gani ambavyo hua hataki...
Uwe unajishusha sana kwake pia pendelea kumsifia na kumpongeza pare anapofanya jambo zuri bira kujari kafanya kwa jamii au kakufanyia wewe

ngoja ninyenyekee mkuu hata akienda kwa bebi wake??
 
Wapi wanasema side chick ni malaya

Ngoja kwanza wewe si una mwanamke wako labda mpo serious ukatamani mwanamke mwingine mkawa na mahusiano uko nae na hujamwambia Kama una mtu sasa utamwitaje dada wa watu malaya

Namaanisha nimeingia kwenye mahusiano na mtu katikati ya mahusiano nikagundua kuwa huyo mwanaume ana mwanamke mwinginee kabla yangu sasa hapo Nafasi yangu si nitajihesabia mimi kanifanya mchepuko wake

Sijajua malaya inatokea wapi mkuu au Mimi ndio sijui definition ya side chick
Hao wanaume wote si huwa mnakuwa na mahusiano ya kingono?
 
Back
Top Bottom