Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,511
- 5,021
Unazungumzia mwaka na wakati kuna wakongwe hapa hata wiki haijawahi kufika. Hongera kwa kuvumiliaWakuu habari za weekend
Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae