Nataka kuwa Baharia

Nataka kuwa Baharia

Algeciras

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
349
Reaction score
330
Wakuu natumai mko wazima,

Msaada wenu wakuu hizi kazi za ubaharia zinapatikana wapi?

Na unatakiwa uwe na elimu gani?

natamani nikafanye kazi katika meli za nje.

kama kuna baharia au mjuzi humu ndani anielekeze.

Ahsante.
 
Google acha uvivu au nenda pale feli kawauloze wale wavuvi watakuwa wanajuwa tu
 
Mkuu katika meli kuna vitengo tofauti katika huo ubaharia kuna fundi umeme,engeneer, fire safety sasa wewe inatakiwa uwe na fani moja kati ya hizo na unaposoma course za ubaharia hapo ukiwa na fani mojawapo ni rahisi kupata kazi..Cape Town ndio ilikua rahisi kupata kazi za ubaharia ukiwa na vyeti au kazi za meli kwa Africa hii..au cheki na hizi oil Rig zinazochomba mafuta baharini au almasi kama de beers huwa wanaajiri pia..angalia katika website zao..
 
Mtafute Mzee ES aka Sauti ya Umeme,FMES Field Marshal ES, Le Big Show aka Miraba Minne ,He's Humbled you know Ha ha ha haaaaa.
 
Le Mutuz, Le baharia
Ana uzoefu wa miaka kadhaa majini
 
Mkuu katika meli kuna vitengo tofauti katika huo ubaharia kuna fundi umeme,engeneer, fire safety sasa wewe inatakiwa uwe na fani moja kati ya hizo na unaposoma course za ubaharia hapo ukiwa na fani mojawapo ni rahisi kupata kazi..Cape Town ndio ilikua rahisi kupata kazi za ubaharia ukiwa na vyeti au kazi za meli kwa Africa hii..au cheki na hizi oil Rig zinazochomba mafuta baharini au almasi kama de beers huwa wanaajiri pia..angalia katika website zao..
mkuu nmekuPM..
 
kimbauzi umekariri kuwa baharia hana fani? unaweza ukawa mhandisi wa umeme wa meli, au mhandisi wa injini za meli au mwenye fani yeyote ukiwa nayo unapata hela ndefu sana achilia hao anakua decker au mfanya usafi engine room..au welder katika meli wanapata hela nzuri kinachobana vijana wengi ni kutokua na taarifa ya nini na wapi wafanye..
 
Mkuu katika meli kuna vitengo tofauti katika huo ubaharia kuna fundi umeme,engeneer, fire safety sasa wewe inatakiwa uwe na fani moja kati ya hizo na unaposoma course za ubaharia hapo ukiwa na fani mojawapo ni rahisi kupata kazi..Cape Town ndio ilikua rahisi kupata kazi za ubaharia ukiwa na vyeti au kazi za meli kwa Africa hii..au cheki na hizi oil Rig zinazochomba mafuta baharini au almasi kama de beers huwa wanaajiri pia..angalia katika website zao..
Mkuu na hii Enginerring Watch/Radar ipoje? Naona ni kozi w wiki 6. Ni nzuri?
 
sijui kwa nini mtu akizungumzia ubaharia nakumba zamani?! enzi zile kaka zangu wakikaa na dollar za makaratasi wakipiga story za kuzamia meli kwenda Italy, yaani kifupi akili yangu imekariri ubaharia ni wa watu watukutu mashuleni, waliokuwa na ndoto za kustoroway.. Nimekumbuka zamani.
 
Mkuu kozi za ubaharia zinatolewa na chuo cha DMI posta,zipo kozi fupi na kozi za muda mrefu.Hizi kozi fupi zipo za wki moja,mbili,mwezi na kuendelea,kozi ya awali inaitwa mandatory coarse ambayo inajumuisha kzi ndogo ndogo kama PST,PSSR,SSA,Tanker familization,First Aid na FIRE Prevention hizi kozi anasoma mtu yoyote yule anaejua kusoma na kuandika sababu hutolewa kwa lugha ya kiswahili na kingereza(mandatory coarse).Kozi za muda mrefu zinachukua miaka miwili(astashahada),mitatu(stashahada) na minne(shahada) uwe umemaliza form four,form six na kufaulu au uwe na astashahada,stashahada inayoendana na vigezo vyao.
Kwenye meli unaweza kuwa upande wa engine au deck inategemea na wewe ulichosomea,kufanya kazi kwenye meli za nje inawezekana mkuu wapo ma-agent wanaohusika na hizo inshu.
Kwa melezo zaidi nenda chuoni.
 
Wakuu natumai mko wazima,

Msaada wenu wakuu hizi kazi za ubaharia zinapatikana wapi?

Na unatakiwa uwe na elimu gani?

natamani nikafanye kazi katika meli za nje.

kama kuna baharia au mjuzi humu ndani anielekeze.

Ahsante.
Mfuate Le mutuz
 
Mkuu kozi za ubaharia zinatolewa na chuo cha DMI posta,zipo kozi fupi na kozi za muda mrefu.Hizi kozi fupi zipo za wki moja,mbili,mwezi na kuendelea,kozi ya awali inaitwa mandatory coarse ambayo inajumuisha kzi ndogo ndogo kama PST,PSSR,SSA,Tanker familization,First Aid na FIRE Prevention hizi kozi anasoma mtu yoyote yule anaejua kusoma na kuandika sababu hutolewa kwa lugha ya kiswahili na kingereza(mandatory coarse).Kozi za muda mrefu zinachukua miaka miwili(astashahada),mitatu(stashahada) na minne(shahada) uwe umemaliza form four,form six na kufaulu au uwe na astashahada,stashahada inayoendana na vigezo vyao.
Kwenye meli unaweza kuwa upande wa engine au deck inategemea na wewe ulichosomea,kufanya kazi kwenye meli za nje inawezekana mkuu wapo ma-agent wanaohusika na hizo inshu.
Kwa melezo zaidi nenda chuoni.
Mkuu unaonajw hii koz ya Engineering Radar/Watch?
 
Mkuu sidhani kama hilo jina lipo sahihi lakin ni koz inayotolewa kwa wiki sita inayohusiana na uangalizi upande wa engine(engine room).Kwenye hiyo kozi unakutana na basic mathematics,physics,workshop technology na masomo yanayohusiana na engine.Hiyo kozi unafanya mitihani aina mbili,wa kwanza wakuandika kwenye karatasi(ambayo tumezoe) wa pili maswali ya papo hapo au ana kwa ana(oral).Ili ufanikiwe kwenye huu mtihani(oral)lazima uwe na seatime angalau ya mwezi mmoja na kuendelea maana maswali yake yanahusiana na kaz unazofanya kwenye meli hasa kwenye chumba cha engine(Engine room).
 
Back
Top Bottom