Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.
Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.
Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.
Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.
Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena

ukijua kuhackle itakusaidia nini zaidi ya kuumia tu!kwani una ushahidi wowote kuhusu hayo unayosema?kama ushahidi unajitosheleza basi chukua hatua sitahili,pole sana mkuuKwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.
Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.
Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.
Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.
Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.
Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.
nataka kutrack movement zake na kumnasa fumanizi. Namfahamu mpaka mtu anayemchukua. Na nimeshuhudia mengi yaani kwa kifupi sijakurupuka na sina tabia ya kukurupuka kwani sasa ni miezi 3 natafuta uthibitsho wa awali.
mkuu nimefatilia huu uzi toka saa 9 alfajir(nilishindwa hata kutoa ushauri) na nimeona umefika mpaka asubuh means hujalala kabsa leo, pole saana..
Nahisi nmesikia uchungu hata zaid yako ww!!!! Cjaoa bado na kwa mkasa huu nmeogopa hata kuoa ka mambo menywe ndo yako hvyo.. Acha nikae kimya watu wazima zaidi watoe ushauri
Mpaka ndoa kuvunjwa inahitaji ushahidi mkubwa sana wa kuonesha kuwa haiwezi lekebishika. Hakikisha unamkamata ugoni ili iwe raisi kwako.
Nb: umeisha wai fikiria jinsi mtakavyo gawana mali mlizo chuma baada ya ndoa???
inavyo onekana wewe unasumburiwa na wivu tu unahisi kama unaibiwa na kama unaibiwa hauna uhakika kama kweli unaibiwa.pole sanaKwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.
Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.
Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.
Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.
Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.
Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.
Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.
Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.
Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.
Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.
Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.
Mmmh! , Hongera sana.... we ni miongoni mwa wanaume wachache sana wenye moyo wa uvumilivu wenye tija kwa wengine. 🙂Ngojea ninyooshee ukweli naojua mimi..
Sisi wanaume tuna tatizo sana nadhani Mie nilikuwa Kiongozi. Hakuna kitu inayomuuma mbaba kama kusikia mwanamke anayemwita mkewe kuna watu wanampandia huwa inauma zaidi ya uchungu Wa pakanga- frankly it pains a lot.
Mie nilipatwa Na maumivu hadi yakanipa wakati mgumu, ukichukulia mywife anafanya Kazi Za night shift Basi balaa, ukichukua cm yake utachoka, ukiendesha Na Kufanya Suprise visit ofcn kwake mid-night sometimes unakuta hayupo cm off. Nikapiga mkwara aache job naye akachimba bit Kama vipi nitoe talaka.
Sometime niliwaza kufanya vinasaba (DNA) Kwa Watoto to identify whether I am the real fadher. Nikachukua doc Kwa mwanasheria msobe Msobe hadi Ocean-Road hsp Kwenye dpt yake but on the way nikawaza how if I found SIO itakuwavipi Na jinsi navyowapenda wanangu can I handle?. Nakaachilia mawazo ile.
Nilishaorganize ndugu zake Na wazazi wanisaidie waowenyewe walichemsha. Imagine unafanya Suprise visit mid-night, kisha wanakwambia mkeo Leo yuko off au shift yake ni mchana Na SIO Mara moja Wala mbili , ukimuuliza simple anakujibu usimfuatilie Na Kazi . Ukiwaza kumpiga chini unawazia pia mstakabali wa Watoto Na heshima yako Mbele ya jamii.
Sina nia ya kukwambia my things Bali tu elewa unaposikitikia jambo wengine walishalia machozi ya Damu. Then lastly I got an idea, Kwamba Kama wanaume wenzangu wanachonga penseli zao humo kwani kichongeo wanakivunja? Waache wachonge wapendavyo maadam kichongeo Kina nguvu ok. Hapo nikawa flexible, nakumbuka was 2008. Then from that time nikapush Kwenye maendeleo sikuwa Na stress tena
Mh! Hata kama ukiweza kuvumilia ivo bado watoto watakuwa ktk mazingira mengine tena magum zaidi kwani hujui huko nje anakocheza kama kuko salama kwani kwa hali ya magonjwa ya sasa imagen yakawapata na mwisho wa siku mkaaga dunia hao watoto mtawaacha ktk mazingira gani? Je yatakuwa bora kuliko yale ya mzazi mmoja ama ya kutokuwa na mzazi hata mmoja? Iloko mkuu fikiria mara 2 huo uamuzi wako!