Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
Kwanza awali ya yote nisingependa kutukanwa au kukebehiwa na mtu hapa, ni saa tisa usiku sasa sijalala nawaza sana juu ya ndoa yangu. Machungu noliyonayo ni zaidi ya machozi ya damu. Kabla ya kuomba msaada nieleze kisa kwanza.
Mimi ni mwanaume mwaminifu sana ambaye sijui mke wa nje kabla ya kuoa na baada ya kuoa miaka 3 sasa. Katika muda huu hatujafanikiwa kupata mtoto baada ya mimba ya kwanza kuharibika. Nilikuwa nampenda sana mke wangu kwa muda wote wa ndoa lakini kumbe ni mzinzi. Sipendi nimdhuru yeye, wala hawala yake wala maisha yake lakini siwezi kuishi na mke anayetoka nje ya ndoa, uchunguzi wa awali umenihakikishia unyama anaonifanyia lakini nahitaji vithibitisho kwa kufikia uamuzi wa kuvunja ndoa.
Msaada: naomba watalaam wa ICT wanisaidie haya
1.Wanifundishe kuhackle akaunti ya facebook ya mke.wangu.
2. Kutrack sms, simu na location ya simu ya mke wangu.
Najua ni makosa kisheria lakini nahitaji kupata hizi data ili zinisaidie kumdaka na kupata ushahidi wa wazi. Mpaka siku nilipojua siwezi tena kuishi na mwanamke huyu zaidi ya hapo nitakuja kumchinja usiku bure.
Naomba niwasilishe hoja, lakini kabla hujacomment fikiria nimeteseka sana na maumivu usiku kucha, sina mtu wa karibu wa kumpa suala langu zaidi nikaona nitupie hapa JF, hebu sasa heshimu mawazo yangu ukoment kitu cha maana na nisingependa ushauri wa ndoa zaidi naomba ujuzi huo hapo juu.
Majaribu2013 hoi kitandani Dar salama.