Punguza bei nikupe mtejaNina note 8 i
Yakwangu ime krack kioo,gharama za matengenezo ya display nimeambiwa ni laki saba.
Nafikiria kuuza utumbo wa hiyo simu yaani mashine shida imekaa muda mrefu parten yake nimeisahau,nafanyeje kuvihamisha vitu vyangu ,pili nawatangazia nitauza sh 700000 hiyo simu.
Nina note 8 i

Baba la baba?!!!; vipi maini firigisi na moyo?!?!
Me mautumbo siyamind kifyekechefyekeche
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweliiKwa mwandiko huu ni lazimabatakuwa anatoka huko.
Mimi MkuryaBila shaka wewe ni Chalii