Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,483 Reaction score 167,069 Dec 11, 2012 #21 Mtambuzi said: Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha............. Click to expand... Mtambuzi umejuaje? Kwanza ndyoko alitaka tu kuuliza jinsia yake kama yeye ni mwanamume au mwanamke, maana tangu apate ugonjwa wa kusahau sau, kidogo swala la jinsia yake limekuwa tata Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mtambuzi said: Mie nishjua ulitaka kuuliza nini! aisee nakuomba usije ukauliza hilo swali, utanangwa humu mpaka upate presha............. Click to expand... Mtambuzi umejuaje? Kwanza ndyoko alitaka tu kuuliza jinsia yake kama yeye ni mwanamume au mwanamke, maana tangu apate ugonjwa wa kusahau sau, kidogo swala la jinsia yake limekuwa tata