Nataka kutapeliwa ama ndio nishakua millionaire?

Nataka kutapeliwa ama ndio nishakua millionaire?

Yaani wanataka wewe ulipie $250 ku-clear hiyo consignment, je wao wameshindwa kulipia hiyo pesa wakati wana madolla yote hayo:

Je, hiyo consignment sio inaweza kuwa ndani yake kuna 'unga'?

Halafu kwa sayansi na teknolojia ya mawasiliano kwa sasa je kweli anahitajika mtu kweli kukuletea docs? Halafu kama ni masuala ya diplomatic si ungeenda kuchukua hiyo parcel pale US Embassy.
 
Word
Yaani wanataka wewe ulipie $250 ku-clear hiyo consignment, je wao wameshindwa kulipia hiyo pesa wakati wana madolla yote hayo:

Je, hiyo consignment sio inaweza kuwa ndani yake kuna 'unga'?

Halafu kwa sayansi na teknolojia ya mawasiliano kwa sasa je kweli anahitajika mtu kweli kukuletea docs? Halafu kama ni masuala ya diplomatic si ungeenda kuchukua hiyo parcel pale US Embassy.
 
Leo nimepoke ujumbe kwa njia ya email kutoka hawa mabwana wanaojiita T-MOBILE, ukisomeka kwamba nimefanikiwa kujishindia $1,000,000 (almost TSHS 2 Billion!!!!). Hebu wadau naomba muusome huo ujumbe na mnishauri kwamba inawezekana ni kweli naweza kupata ama nataka kutapeliwa hapa. (coz nishachanganyikiwa kabisa hapa). Nimefuta jina langu coz sitaki tuanze kusumbuana nitakapoanza kutumbua haya mamilioni. **Ifahamike kuwa sijashiriki kwenye promotion yoyote ile mtandaoni ya hao t-mobile***

T.Mobile USA, Inc " P.O.Box 37380
Albuquerque' New Mexico' United State
Ref: Award-2016-500TM / Batch: Hed-0000GD-2014MKL
TEL: +1 31-567-54143.


Dear Lucky Winner xxxxx xxxxxx"

This is to inform you that you have won a prize money of $1,000,000.00 (One Million United State Dollars) From T.Mobile Promotion” United State which was organized by T.Mobile Company, “Your Mobile Number" were selected through a computer ballot system drawn from Nine hundred thousand Mobile Network’s Worldwide from Canada, Australia, United States, Asia, Europe, Middle East, Africa and Oceanic as part of our international promotion program which is conducted annually, we have only selected 20 people as our winners, through mobile electronic ballot System without the winners applying.
We also wish to announce to you that' this promotion was set-up with the Microsoft Windows, And we are pleased to inform you that your won fund has been processed in regards to your related winning sum in your name and has been dispatched to your designated country, Our management has sent a Diplomat delivery agent officer" Mr.Raymond Carrasco from the United State to your country for your Prize delivery.

Your won price has been sent to your country via our diplomatic agent and on arrival of the delivery diplomatic agent, You will need to clear/release your CONSIGNMENT from the custom authority at THE INTERNATIONAL AIRPORT there in your country, and also get the approval of transfer from the Central Bank or Bank of Tanzania. Once the formalities is over, he will proceed immediate delivering of your prize parcel/ consignment to you at your given address.

Important Delivery Information
-------------------------------------------------------------------------
Number of Packages 1
Service: International and Overnight
Departure Date/time:- August 28th2016 at 07:35:00 AM
Arrival Date/time:- August 30th2016 at- 08:05 :00 AM
-----------------------------------------------------------------------------------
Your winning Consignment contains all of the following items:


1.) A Consignment of Your Winning of One Million United State Dollars.
2.)Official Winning Certificate.
3.)Affidavit of claims eligibility.
4.)Other Covering Documents and valuable Items Like iPhone 6 with advanced NVIDIA graphics & blue tooth wireless Dell laptop along with T.Mobile touch Smart phone etc.

We require you to get back to our delivery agent with a valid means of identification proof of either a national identity Card, passport , company identity or driving license , you are required to send the details to our delivering agent through is displayed email below before his arrival : (raymondcrrsc @gmail.com ) This will enable our delivering officer locate and recognize you in person on arrival to your country and have a photograph with you while receiving your ( ) which contain your winning funds amount of $1,000,000.00 Us Dollars (One Million United State Dollars)

We have taken the decision to foot the traveling costs of the delegated diplomat and ensured payments for shipment of your won price to your country' As the beneficiary of this award prize, Please note that you are eligible to prepare the International custom Airport Clearance charges of $250 United State Dollars" which is payable in cash to the Surveillance Unit/ Custom on duty when the delivery diplomat arrive in your country.

The Diplomat shall also give you all require assistance you may need to ensure that your won price is cleared and funds deposited in your local bank account upon his arrival to your city at your given address. You shall be responsible for the local clearance charges there in country, so that the delivery diplomat can be allow to complete the delivery of your won Prize immediately he arrive your country. You are advice to follow the instruction's of the diplomat as soon as he arrive your country because he has other assignment to fulfill out side Tanzania.

NOTE:
Registration, Clearance and Surveillance Unit / Custom charges in your currency will cost you to get your won price which contains the Amount of $1,000,000 USD with all relevant document that will empower you get your winning amount lodge in your nominated account with assistance of our delivery diplomat , so he can facilitate payment formalities through the Central Bank or Bank of Tanzania in your country.

Be informed that your prices are protected by a HARD COVER INSURANCE POLICY (HCIP), which makes it impossible to deduct any amount from your funds before remitting it into your account. This is in accordance with section 13(1)(n) of the ALL US PROMO ACT as adopted in 1993 and amended on 3rd July 1996 by the constitutional assembly. Due to this fact.

PAYMENT WILL BE DONE ON ARRIVAL OF THE DELIVERY DIPLOMAT ( MR.RAYMOND CARRASCO ) IN YOUR COUNTRY AND HE WILL DIRECT YOU ON HOW TO MAKE THE PAYMENT FOR ANY PURPOSE OF RECEIVING YOUR WON PRIZE CONTAIN THE CONSIGNMENT TRUCK BOX, AS WE HAVE ENSURED A HOME DELIVERY SERVICE'S OF PRIZE PARCEL TO YOUR HOME ADDRESS IN ANY PART IN TANZANIA.

The diplomat will be guiding you in respect of your winnings and you are to follow instruction's from the diplomat and feel free to always get back to us via Email in any clarification.
Once again on behalf of members and staff of T.MOBILE PROMO COMPANY congratulate you on your winnings and wish you the best of luck as you spend your good fortune.

(A Subsidiary of T.Mobile Promo Services)
T.MOBILE program chairman (DR.GEORGE SHERWOOD)
TEL: +1 31-567-54143.
(T. MOBILE LOTTERY COORDINATOR)
[emoji767]”COPYRIGHT 2016 T. MOBILE PROMOTION” ALL RIGHT RESERVED.


NAOMBENI MSAADA WA KIMAWAZO TAFADHALI.




[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ulishawahi kununua bidhaa zao? Pengine jibu ni hapana! Ulishawahi kushiriki promotions zao? Hapa pia jibu laweza kuwa hapana! Unafahamu chochote kuwahusu? Most likely NO!
Hivi unafikiri wao ni wasengelenyuma mpaka wakupende kiasi hiki? Nani hapendi pesa? chizi mwenyewe na uchizi wake pesa hachani wala kutupa
Jaribu kuwajibu uone kifuatacho ITV
 
Kitu kingine kutajwa Bank of Tanzania pale,wakati ujumbe umetawanywa ulimwenguni kwa washindi? Halafu hicho "chambo" cha $250 cha kwenda kutolea mzigo, ndiyo kilicholengwa, ijapo kunamaelezo ya kujaza gazeti zima.
Ukitupia hicho chambo kitaliwa na samaki hautamnasa maisha.
 
Hio txt inanikumbusha miaka kama 5 hv nyuma nilijitahd kufata process zote za hao jamaa ilipofikia mwishon kwmba nitume hela ya sijui insurance hapo ndo niliposhtuka afu kuja kuingia mtandaoni nkakutana na wenzangu wengi mno afrika nzima wanalalamika sana
 
Nilikuwa naibiwa mchana kweupeee
tamaa mbaya...wapo wengi hao. Kuna wa dawa za kilimo, kuna anayetaka umsaidie kutunza urithi nk. Ujue tu kuwa hakuna hela za mgawo hata siku moja. Waulize wanachama wa DECI. Ila watu hawakomo sasa hivi kuna REFARO...(RIFARO???)
 
Nakushauri ufuatilie ili uje utuhadithie wamekupigaje na sie tujifunze!
 
Ushakuwa millionaire bob fuatilia mkwanja huo then unixhtue tuje tuspend
 
Matapeli hao usijaribu kuwapa Account no na majina yako unaweza ukalia mostly anakuwa wa Nigeria wanaishi Kwa kitapeli mitandaoni miaka ya nyuma jamaa mmoja alitoa particulars zake next day alivyoenda bank akakuta salio alisomi akaonyeshwa alifanya transfer ya pesa online na alikuwa ameweka pesa za michango ya harusi almost 10mil alilia!
 
Hatari sana
Matapeli hao usijaribu kuwapa Account no na majina yako unaweza ukalia mostly anakuwa wa Nigeria wanaishi Kwa kitapeli mitandaoni miaka ya nyuma jamaa mmoja alitoa particulars zake next day alivyoenda bank akakuta salio alisomi akaonyeshwa alifanya transfer ya pesa online na alikuwa ameweka pesa za michango ya harusi almost 10mil alilia!
 
Back
Top Bottom