Nataka kutapeliwa ama ndio nishakua millionaire?

kuna jamaa aliwahi kuleta uzi hapa aliwazunguka akawaliza na wao $200 nimesahau jina la uzi ule
 
Kama unafuatilia fuatilia ila ujue hao ni matapeli, utaenda nao vizuri na itafikia pnt utatakiwa kilipa hizo dola 250 na ndio hapo unapopigwa.
 
Ntawafatilia hadi mwisho, ila ikifika point wakaanza kudai hela ya clearance mi nalala mbele!
 
Kaka Matapeli wana akili wanajaribu popote huwezi amini wakati Mh JPM akifanya uteuzi wa maDC nilipigiwa cmu eti kutoka ikulu kwamba jina langu na mm limo ila kwakuwa tuko wengi lzm nichangamke kdg nikajiuliza hata kadi ya chama sina am nothing kichama na serikali hilo jina langu limefikaje nikamjibu niko busy anipigie baadae alipopiga nikamwambia navyofahamu serikali sio mambo hayo km Mh akiamua hakuna haja ya nguvu za ziada nikamshukuru kilichonitia hofu yy anajiita msaidizi wa Katibu Mkuu Kiongozi na kiasi alichotaka ni kdg kwa mtu kama yy ku spoil his reputation!
 
Hahahaaaa. Mkuu sahiv ungekuwa DC wa kawilaya flani hapa nchini kama ungechangamkia hiyo dili
 
Girls from Nigeria and west Africa they have made alots of billions through that way so be carefully!!
 
Pesa haipatikani hivyo. Huyo Raymond Yuko hapa anangoja ukubali tu ajitokeze alambe hizo dolar 250 then
Mpira umekwishaaaa
 
Unaonaje kama nikawafuata kwenye ofisi zao hapa Tz, then niwaambie wakate hela yao juu kwa juu wanigee inayobaki
ushaambiwa NO Deduction of your winning prize.. Kwahiyo hawatapunguza wakupe iliyobaki
 
These are Nigeria Emails/Scams. Don't dare to respond on such scams.
 
Back
Top Bottom