Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,358
Nina mpango wa kuja Kenya kutalii April mwakani. Nahitaji kufahamu yafuatayo;
1. Nimejaribu kugoogle nimeona nitapapenda Naivasha. Nitajieni wapi kwingine nitapapenda? Sipendi wanyama, msinipe suggestion za mbugani.
2. Labda shopping kidogo, kwa wazoefu, nielezeni utofauti wa bei kati ya Kenya na Tanzania. Wapi kuna bei sana, na kwanini? Maeneo mazuri ya shopping ni yapi?
3. Hivi bado ni salama? Sio mambo ya kuja, Al Shabab waje kufanya yao?
4. Nafikiria kwenda Mombasa, papo fresh? Au sawa na Coco beach yetu?
5. Naweza kufungua account ya benki huko? Huku naona Jiwe anazingua na misheria yake. Mnipe michongo kama ni kitu possible.
6. Nitajie cool places za kufurahia na familia hapo Nairobi, sehemu za bbq? Wanna experince something very different from Dar es salaam. Sehemu Al shabab ambapo hawafiki.
Lastly, nakuja na gari yangu, si naweza endesha huko bila tatizo? Speed za 50 zipo? Trafiki nao wanasumbua kama kwetu huku?
Lazima niwe na passport au ID ya Taifa ni okay?
Nipo serious.
Sent using Jamii Forums mobile app