Nataka kutalii Kenya

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,357
Nina mpango wa kuja Kenya kutalii April mwakani. Nahitaji kufahamu yafuatayo;

1. Nimejaribu kugoogle nimeona nitapapenda Naivasha. Nitajieni wapi kwingine nitapapenda? Sipendi wanyama, msinipe suggestion za mbugani.

2. Labda shopping kidogo, kwa wazoefu, nielezeni utofauti wa bei kati ya Kenya na Tanzania. Wapi kuna bei sana, na kwanini? Maeneo mazuri ya shopping ni yapi?

3. Hivi bado ni salama? Sio mambo ya kuja, Al Shabab waje kufanya yao?

4. Nafikiria kwenda Mombasa, papo fresh? Au sawa na Coco beach yetu?

5. Naweza kufungua account ya benki huko? Huku naona Jiwe anazingua na misheria yake. Mnipe michongo kama ni kitu possible.

6. Nitajie cool places za kufurahia na familia hapo Nairobi, sehemu za bbq? Wanna experince something very different from Dar es salaam. Sehemu Al shabab ambapo hawafiki.

Lastly, nakuja na gari yangu, si naweza endesha huko bila tatizo? Speed za 50 zipo? Trafiki nao wanasumbua kama kwetu huku?

Lazima niwe na passport au ID ya Taifa ni okay?

Nipo serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule passport muhimu sijui kama hilo limebadilika.
Naivasha kuna xiwa flani na vinyumba vya nyasi vyenye utulivu mwingi sana. Utapata kuona viboko huko.

Kuna restaurant moja wanaiita carnivore ni mwendo wa kula nyama sana, hadi mamba utawapata pale, kama hawajabadilisha mambo.

Tunatofautiana ila kwa upande wangu Nairobi sikupafurahia sana. Upcountry ndio nilipapenda zaidi.

Unaweza kufungua akaunt na KCB, Equity au NIC wanaweza ni rahisi kuzitumia hizo benki ukiwa huko Kenya.

Kila la kheri mkuu
 
Bars and Restaurants and Hangouts

Nairobi is the bar and restaurant capital of the region. You will be spoilt for choice. I recommend the following restaurants but we keep a directory of hangouts and social events at the following site :

Recommendations:

1:The Alchemist

PtAZZQB.jpg

Boa3or6.jpg

2: K1 The Flea Market

sknsubv.jpg

n1vqp6P.jpg

C7yLwUh.jpg

3: Nyama Mama

Z4OZxrP.jpg

iOm08AX.jpg

8nx013e.jpg

9gxULv3.jpg

O93QiSN.jpg

4: Kiza

745iaoA.jpg

5z4JmQQ.jpg

A2zJe3c.jpg

M1S1RAW.jpg

uvAMMQM.jpg

5: Caramel Restaurant and Lounge

20139910076_66c7fcd015_b.jpg

29041656585_a84e694e4a_b.jpg

19545175573_6cf4d5a865_b.jpg

28420951704_a0f660689a_b.jpg

29008549286_e3b606786e_b.jpg
 
This might be a stretch but another way to experience the city is by taking the highways around the city and seeing different neighborhoods. All off these highways will expose you to different parts of the city and you will get a sense of what the city has to offer.

1:The Southern Bypass

De6sDXOUYAA2SzZ.jpg

De6sLPnU8AAL0qS.jpg

2: The A2

View attachment 1281121

3: Mombasa Road
You will use this road on your way in.

4:Redhill Road

5: Ngong Road

ngongroad.jpg

Ngong-road.jpg
 
Shopping Malls
Kuna options mingi for shopping. Consider the following places:
  1. Two Rivers Mall
  2. Garden City
  3. The Hub
  4. Westgate Mall
  5. Lavington Mall

Two Rivers Mall
Attractions: Largest ferris wheel in Africa, largest mall in East and Central Africa

Master_Image_City_Clouds-1.jpg

68494312_2878306758911252_6685848926802673664_o.jpg

Garden City Mall

CyV8S5PXAAA3IC-.jpg

vjlbq.jpg
The Hub Karen

D84q5VgXkAA2xEp.jpg

XLzvr.jpg

cE7xZ.jpg
 
Matajiri wa Arusha wengi huja kula bata Nairobi, ukiwa na hela yako kuna mengi ya kufanya Kenya, ila wewe hapo tayari umeanza kuhoji mambo ya hela, nahisi utapaona pagumu. Kwenye suala la alshabaab, sijui nani aliwaaminisha kwamba huku tunauawa kila siku. Wahoji maelfu ya Watanzania ambao huja Kenya kila siku.

Lakni kama uko serious na sio pumba, nashauri uende hapa mahali kwenye hii video, ndiko nakusudia kwenda na familia Krisimasi

If you are from Dar ... Then most likely the beach and coastal setup will not make fascinate you.....Avoid Mombasa. Nairobi - Naivasha - Nakuru will make more sense.
 
Mimi nimeshawahi kukaa kwa muda Naivasha, ni sehemu yenye utulivu na mandhari ya kuvutia, kuona Twiga anapita karibu na mji. Naivasha kuna ziwa, mbuga ya wanyama na resorts nzuri ila hivi vitu vyote vinapatikana Tz tena kwa ubora zaidi, kwa nini usiende Magoroto Tanga?
 
Bro, Mleta Mada amepachagua Kenya, kuja kutalii, hivyo basi naona anataka kushuhudia maisha ya 1st World mwenyewe bila chenga nyingi. Sasa wewe ukimtajia maeneo vituko kama Tanga Tanga kisha gari lake likwame kwenye mtope,, utamsaidia kuliburuta?
Wakati mwingine, tuwe tunatumia akili kidogo.
1. Nimejaribu kugoogle nimeona nitapapenda Naivasha. Nitajieni wapi kwingine nitapapenda? Sipendi wanyama, msinipe suggestion za mbugani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule passport muhimu sijui kama hilo limebadilika.
Naivasha kuna xiwa flani na vinyumba vya nyasi vyenye utulivu mwingi sana. Utapata kuona viboko huko.

Kuna restaurant moja wanaiita carnivore ni mwendo wa kula nyama sana, hadi mamba utawapata pale, kama hawajabadilisha mambo.

Tunatofautiana ila kwa upande wangu Nairobi sikupafurahia sana. Upcountry ndio nilipapenda zaidi.

Unaweza kufungua akaunt na KCB, Equity au NIC wanaweza ni rahisi kuzitumia hizo benki ukiwa huko Kenya.

Kila la kheri mkuu
Kuna lodge inaitwa Enashipai ipo Naivasha, niliiona kwenye documentary fulani hivi. Nikaipenda. Ndio sababu kubwa ya kwenda Naivasha.

Sipendi wanyama, hizo story za viboko ndo sitaki sikia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bars and Restaurants and Hangouts

Nairobi is the bar and restaurant capital of the region. You will be spoilt for choice. I recommend the following restaurants but we keep a directory of hangouts and social events at the following site :

Recommendations:

1:The Alchemist

PtAZZQB.jpg

Boa3or6.jpg

2: K1 The Flea Market

sknsubv.jpg

n1vqp6P.jpg

C7yLwUh.jpg

3: Nyama Mama

Z4OZxrP.jpg

iOm08AX.jpg

8nx013e.jpg

9gxULv3.jpg

O93QiSN.jpg

4: Kiza

745iaoA.jpg

5z4JmQQ.jpg

A2zJe3c.jpg

M1S1RAW.jpg

uvAMMQM.jpg

5: Caramel Restaurant and Lounge

20139910076_66c7fcd015_b.jpg

29041656585_a84e694e4a_b.jpg

19545175573_6cf4d5a865_b.jpg

28420951704_a0f660689a_b.jpg

29008549286_e3b606786e_b.jpg
Cool places.

Nimesave for further reference.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matajiri wa Arusha wengi huja kula bata Nairobi, ukiwa na hela yako kuna mengi ya kufanya Kenya, ila wewe hapo tayari umeanza kuhoji mambo ya hela, nahisi utapaona pagumu. Kwenye suala la alshabaab, sijui nani aliwaaminisha kwamba huku tunauawa kila siku. Wahoji maelfu ya Watanzania ambao huja Kenya kila siku.

Lakni kama uko serious na sio pumba, nashauri uende hapa mahali kwenye hii video, ndiko nakusudia kwenda na familia Krisimasi

Nimeuliza kujua options ambazo zipo Nairobi na Dar ndio maana nikasema nione utofauti wake..

Hujamaliza kujibu maswali yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bars and Restaurants and Hangouts

Nairobi is the bar and restaurant capital of the region. You will be spoilt for choice. I recommend the following restaurants but we keep a directory of hangouts and social events at the following site :

Recommendations:

1:The Alchemist

PtAZZQB.jpg

Boa3or6.jpg

2: K1 The Flea Market

sknsubv.jpg

n1vqp6P.jpg

C7yLwUh.jpg

3: Nyama Mama

Z4OZxrP.jpg

iOm08AX.jpg

8nx013e.jpg

9gxULv3.jpg

O93QiSN.jpg

4: Kiza

745iaoA.jpg

5z4JmQQ.jpg

A2zJe3c.jpg

M1S1RAW.jpg

uvAMMQM.jpg

5: Caramel Restaurant and Lounge

20139910076_66c7fcd015_b.jpg

29041656585_a84e694e4a_b.jpg

19545175573_6cf4d5a865_b.jpg

28420951704_a0f660689a_b.jpg

29008549286_e3b606786e_b.jpg
Mimi nipenda zaidi 8020 zaidi ya Kiza
 
Back
Top Bottom