Nataka kusoma CPA, naomba ushauri katika hili

Habari za Jumapili mabibi na mabwana?
Katika harakati za kutaka kujiongezea Elimu nimepata wazo la kusoma CPA inayotolewa na Bodi ya Taifa ya uhasibu na ukaguzi Tanzania(NBAA).

Nimemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu pale UDSM/Udbs miaka mwiwili iliyopita-(2015) na nikabahatika kupata ajira maeneo ya kanda ya ziwa ambapo kiukweli hakuna maktaba wala tuition center.

Naombeni ushauri wanajamvi hasa wadau wa fani ya uhasibu na elimu kwa ujumla je naweza nikajisajili na kupiga pepa na nikafaulu kwa kupiga msuliyatima?

Karibuni kwa ushauri!
Bro gpa ya second class lower mayb 3.1-3.4 ivi inakuaje kwny soko a ajira.. hongera kwa kupita niko udbs now kina dr minja wananiua tu
 
Kuna baadhi ya ajira wako strictly saana eg auditing firm, crdb mostly walikua wakija kufanya recruitment wanahitaji upper second. But other organizations ni hawapo strict kiivo eg Hata hizi post za TRA na ppf hawakuwa strict kiivo. Hongera nawe pia mkuu dr minja mtata saana huyo mzee.. Ni miongoni mwa hazina ya udbs dept ya finance.
 
Acha kuamini GPA ndiyo inaajiri kijana, weka madini kichwani ndio anachotaka muajiri zama hizi. Japo si vibaya kufaulu vizuri.
 
Aise itabidi nipambane, second year ukikaza msuli sana kwa bcom accounting gpa ya nne si nitaweza pata bro:?
 
Anha sawa boss sina ufahamu wa soko la ajira kaka ndio maana nauliza
 
Acha kuamini GPA ndiyo inaajiri kijana, weka madini kichwani ndio anachotaka muajiri zama hizi. Japo si vibaya kufaulu vizuri.
Kwa soko la ajira he need both mkuu. Cz Hata akiwa na madni kichwani but akiwa na GPA chini ya kiwango automatically ameshajiondoa
 
Aise itabidi nipambane, second year ukikaza msuli sana kwa bcom accounting gpa ya nne si nitaweza pata bro:?
All da best mkuu, cz wengi huwa GPA inashuka second year. But ukipambana vizur utatoka.
 
Duh hongera mdau. Mi sifikiriagi kabisa hacho kamdudu kanakoitwa cpa. Sanasana nimejikita nifanye biashara out of my ajiraana ako kamdudu wanakabania sanaa utafikiria funguo ya kwenda janna vile.
 
Habari za Jumapili mabibi na mabwana?
Katika harakati za kutaka kujiongezea Elimu nimepata wazo la kusoma CPA inayotolewa na Bodi ya Taifa ya uhasibu na ukaguzi Tanzania(NBAA).

Nimemaliza Shahada ya kwanza ya Uhasibu pale UDSM/Udbs miaka mwiwili iliyopita-(2015) na nikabahatika kupata ajira maeneo ya kanda ya ziwa ambapo kiukweli hakuna maktaba wala tuition center.

Naombeni ushauri wanajamvi hasa wadau wa fani ya uhasibu na elimu kwa ujumla je naweza nikajisajili na kupiga pepa na nikafaulu kwa kupiga msuliyatima?

Karibuni kwa ushauri!
CPA sio kusoma ni kufanya mtihani tu!
 
Thanks kaka,,na third year je
Third year Kwa account binafs ckuona course ngumu,. But for second year nliingia na kibur cha GPA ya kubwa ya first year na kusoma Kwang Eca.. [emoji23]nlipambana na muziki wa intermediate.. Mara Tax.. Ahh shule ya second year inahitaj umakini mkuu.
 
Hahah dah aise kaka tumbo joto apa,,mimi na kupiga kwangu hge si ndo itakua mziki wa maana aisee.. ila ukikaza msuli haswa natumaini itakua poa sio
 
Back
Top Bottom