SUNDIATAKEITA
Senior Member
- Jan 1, 2015
- 157
- 89
.
Ahsante kw ushauri mkuu.Aiseeh msuli yatima lazima utoboe
Ahsante mkuu,kwa upande wa internet ipo vizuri,changamoto kubwa ni sylabus,study guide cz nimejaribu kutafuta bila mafanikio.Ukipata zile study guide zao utafanikisha mkuu, pia kama una internet pitia notes na maswali ya ACCA
Ukipata nijulishe namm mkuu mie kama wwAhsante mkuu,kwa upande wa internet ipo vizuri,changamoto kubwa ni sylabus,study guide cz nimejaribu kutafuta bila mafanikio.
Poa poa mkuu ngoja 2endelee kutafuta ila ikishindikana kwenye mwez wa sita Mungu akipenda nitarajia kuingia dsm nikajisajili kupiga pepa mwez wa 11 hope nitapata huko.Ukipata nijulishe namm mkuu mie kama ww
Naungana na mkuu hapa, vitabu pekeyake havitoshi pambana na past papers zao na acca sometimes huwa wana copy swali kama lilivyo lakini hawa jamaa huwa hawatabiriki sana so kikubwa jitahid kujua namna wanavyotaka kujibiwa hiyo mitihani yao ili usije jutia muda na pesa utakayopoteza. na pia usithubutu kuchukua masomo yote sita,piga matatu acha matatu mpaka kieleweke.Nikiwa mwenye experince na hii kitu nakushauri ufanye masomo mtatu matatu, kwa vile una degree stage ya kwanza utayosomea ina masomo sita hapo chukua financial management, financial accounting na taxation, ukichomoa malizia ethics, auditing na perfomamnce management, ndipo utapoingia final level yenye masomo manne tu
N:B Usitegemee sana study gudes, utatoka chaka na utakuwa very surprsed pepa likitoka maana hawa bodi maswali yao huwa yamenyooka si mchezo, kwa ushauri solve maswali mengi uwezavyo y ACCA past papers na bodi za nchi kama ireland ,,, Utatoka..
CPA huwaga hawarudii maswali waliyoyatoa, cha kurudia labda ni vipengere vile vyenye marksi mbili na ni nadra sana, cha msingi ni kukomaa na pastpaper za acca 2007 mpaka sasa...Naungana na mkuu hapa, vitabu pekeyake havitoshi pambana na past papers zao na acca sometimes huwa wana copy swali kama lilivyo lakini hawa jamaa huwa hawatabiriki sana so kikubwa jitahid kujua namna wanavyotaka kujibiwa hiyo mitihani yao ili usije jutia muda na pesa utakayopoteza. na pia usithubutu kuchukua masomo yote sita,piga matatu acha matatu mpaka kieleweke.
Wanarudia mkuu, nimeshakutana na maswali ya dizain hiyo kwenye paper kama bahati kikubwa ni kusolve maswali mengi zaidi huwa panatokea zali la mentali wanabadilisha majina tuu,nina ushuhuda maana nilifanya sana na nikakutana nayo.CPA huwaga hawarudii maswali waliyoyatoa, cha kurudia labda ni vipengere vile vyenye marksi mbili na ni nadra sana, cha msingi ni kukomaa na pastpaper za acca 2007 mpaka sasa...
Ahsante saana mkuu..!!!Nikiwa mwenye experince na hii kitu nakushauri ufanye masomo mtatu matatu, kwa vile una degree stage ya kwanza utayosomea ina masomo sita hapo chukua financial management, financial accounting na taxation, ukichomoa malizia ethics, auditing na perfomamnce management, ndipo utapoingia final level yenye masomo manne tu
N:B Usitegemee sana study gudes, utatoka chaka na utakuwa very surprsed pepa likitoka maana hawa bodi maswali yao huwa yamenyooka si mchezo, kwa ushauri solve maswali mengi uwezavyo y ACCA past papers na bodi za nchi kama ireland ,,, Utatoka..
Ahsante mkuu,mi nilikuwa nataka kujiles nipige yote sita.!!!Ila kwa kuzingatia ushauri wako bora nichukue tahadhari mapema.Naungana na mkuu hapa, vitabu pekeyake havitoshi pambana na past papers zao na acca sometimes huwa wana copy swali kama lilivyo lakini hawa jamaa huwa hawatabiriki sana so kikubwa jitahid kujua namna wanavyotaka kujibiwa hiyo mitihani yao ili usije jutia muda na pesa utakayopoteza. na pia usithubutu kuchukua masomo yote sita,piga matatu acha matatu mpaka kieleweke.
Ahsante saana mkuu.Kama uko kanda ya Ziwa wasiliana na wenye namba hizi hapa chini wakusaidie ushauri kwa kuwa wana centre yao ya kufundisha wanaojiandaa kufanya hiyo mitihani ya CPA.
0784 39 73 98
0784 67 66 46
Hapana mkuu cpo mwanza..Nenda cbe kama upo mwanza