kwa sasa natumia huawei ascend Y300, kwa kweli ni simu nzuri sana, na kwa upande wa camera, internet iko vizuri sana, bt nataka kumove toka hapo kwenda simu nyingine, bt hav no idea simu ipi ninunue, so wadau kama mnaweza kunisaidia hapo itakuwa poa, napenda sana simu za adroid bt kama kuna aina nyingine mnaweza kunisaidia, bajeti isizidi laki 3