Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,545
- 2,485
Habari.
Naomba muongozo wa kusafirisha mtungi wa gesi (jiko dogo la gesi) , kabati (si la mbao, liko packed tayari) Vyombo vichache vikiwemo vya dongo pamoja na chandarua. Kutoka Singida mjini hadi Dar
Nipo Dar kwa sasa. Msaada wa hali na mali ni muhimu sana kwangu
Karibuni ,
Maendeleo hayana chama,
Mr Confidential
Cc: Smart911
Cc: Yna
Cc😡 Mwl Rct
Cc😡chaliifransisco
Cc;@Chief-Mkwawa
Cc: Jamii Forums